Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani

Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40

Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa

Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
 
Unadhalilisha sana title ya Dr. Hata kuandika hujui utajuaje Mambo ya fedha za huyo tajiri?
 
Kweli Wakuu ni lazima tuhoji huyu Chief Godlove na hela zake za maonyesho ana miradi gani ya kumuingizia hizo pesa za maonyesho ? Hatuna wivu lakini ni muhimu pia kujua, maana wenye hela huwa hawapigi nazo picha na kuweka mitandaoni. Tunachokiona mitandaoni ni bidhaa zao zinazowafanya waitwe matajiri lakini hawapigi picha na hela zao. Muhimu TRA Tanzania na vyombo vingine vilichunguze hili. Vijana wengi wanaathirika kisaikolojia wanavyoangalia hizi video na kejeli zake huyu Chief Godlove
Acha wivu fanya Yako uchunguze maisha mbona wewe hujachunguzwa na huo umasikini wako njaa mbaya sana unaweza kudata🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inaweza kuonekana kama ni wivu lakini kuhoji mambo kama haya kwenye jamii ni jambo muhimu na mamlaka husika zinatakiwa kulifanyia kazi hasa kwenye nyakati hizi ambapo mtu yuko radhi hata kuutoa Uhai wa mtu ili tu afanikiwe.....

Kukithiri kwa mambo haya kunaweza kujenga taswira mbaya kwenye jamii na kuzalisha kizazi kinachoamini kwenye..... short cuts na ujanja ujanja kwenye maisha........

Kesi kama hizi nchi za zilizoendelea huwa zinateka attention ya mamlaka kwa kiasi kikubwa na ikibainika huwa kuna adhabu kubwa kwa muhusika......
Acha wivu huu ni wivu tu hamna lolote tafuta hela masikini wewe
 
Unampata mtu mmoja alishapata kutokea anaitwa Genius Kadungure GINIMBI ndo dizaini ya hivo.

Utajiri upo hivi; Mwenyezi Mungu akikupa utajiri Huwa anatangulia kukupa HEKIMA! huji kusikia mtu aliyepewa utajiri na Mungu akawa na dharau, kuwakashifu wengine huwa anakua kuna utulivu katika utajiri wake(Hekima fulani).

Je Jamaa anaangukia humo?

Basi mwacheni afurahie utajiri wake!Utajiri ni siri na hutasikia hata siku moja mtu anakupa njia aliyofanikiwa akafika hapo NEVER
 
Unampata mtu mmoja alishapata kutokea anaitwa Genius Kadungure GINIMBI ndo dizaini ya hivo.

Utajiri upo hivi; Mwenyezi Mungu akikupa utajiri Huwa anatangulia kukupa HEKIMA! huji kusikia mtu aliyepewa utajiri na Mungu akawa na dharau, kuwakashifu wengine hiwa anakua kuna utulivu katika utajiri wake.

Je Jamaa anaangukia humo?

Basi mwacheni afurahie utajiri wake!Utajiri ni siri na hutasikia hata siku moja mtu anakupa njia aliyofanikiwa akafika hapo NEVER
Wewe mpaka Sasa hivi umeshapewa utajiri na mungu 🤣🤣🤣
 
Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani

Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40

Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa

Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Acha unoko mkuu
 
Inaweza kuonekana kama ni wivu lakini kuhoji mambo kama haya kwenye ni jambo muhimu na mamlaka husika zinatakiwa kulifanyia kazi.....kukithiri kwa mambo haya kunaweza kujenga taswira mbaya kwenye jamii na kuzalisha kizazi kinachoamini kwenye..... short cuts na ujanja ujanja kwenye maisha........

Kesi kama hizi nchi za zilizoendelea huwa zinateka attention ya mamlaka kwa kiasi kikubwa na ikibainika huwa kuna adhabu kubwa kwa muhusika......
Kwa sisi wajamaa sawa, ila kwenye ulimwengu wa kibepari haya mambo hayapo, angalia Uingereza na Marekani vijana wadogo tu ni matajiri wakubwa, muhimu ujue siri ya mafanikio ni nini.

Na sisi ambao hatujafanikiwa tujifunze kwao, tufanye nini ili nasisi tufanikiwe.
 
Back
Top Bottom