Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

 
 
Unadhalilisha sana title ya Dr. Hata kuandika hujui utajuaje Mambo ya fedha za huyo tajiri?
 
Acha wivu fanya Yako uchunguze maisha mbona wewe hujachunguzwa na huo umasikini wako njaa mbaya sana unaweza kudata🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha wivu huu ni wivu tu hamna lolote tafuta hela masikini wewe
 
Unampata mtu mmoja alishapata kutokea anaitwa Genius Kadungure GINIMBI ndo dizaini ya hivo.

Utajiri upo hivi; Mwenyezi Mungu akikupa utajiri Huwa anatangulia kukupa HEKIMA! huji kusikia mtu aliyepewa utajiri na Mungu akawa na dharau, kuwakashifu wengine huwa anakua kuna utulivu katika utajiri wake(Hekima fulani).

Je Jamaa anaangukia humo?

Basi mwacheni afurahie utajiri wake!Utajiri ni siri na hutasikia hata siku moja mtu anakupa njia aliyofanikiwa akafika hapo NEVER
 
Wewe mpaka Sasa hivi umeshapewa utajiri na mungu 🤣🤣🤣
 
Acha unoko mkuu
 
Kwa sisi wajamaa sawa, ila kwenye ulimwengu wa kibepari haya mambo hayapo, angalia Uingereza na Marekani vijana wadogo tu ni matajiri wakubwa, muhimu ujue siri ya mafanikio ni nini.

Na sisi ambao hatujafanikiwa tujifunze kwao, tufanye nini ili nasisi tufanikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…