Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Naomba picha ya huyo mungu ataekupa huo utajiri
Relax! Kila mmoja achange karata zake vizuri!
Utajiri Ni Siri! Sababu unahusisha mambo ya Kiroho.

Muda ukifika nitakuja kuleta ushuhuda hapa sio leo wala kesho hata kama ni miaka 2 mbele jinsi mapito yangu mpaka nilipokuja kufanikiwa ili vijana wajifunze sometimes utajiri unakwenda na Bahati!
 
Hamna kitu utakua masikini mpaka kifo chako
 
We matajiri wa nchi hii wote unawajuwa?

Fanyeni kazi achenani na maisha ya watu binafsi

Mimi binafsi kufatilia mambo yako labda uwe ndani ya serikali lakini Kama ni mjasiliamali Kama Mimi Sina muda.
Mm lzm nikufatilie kijan huyu ni tapeli na ni muhujumu uvhumi
 
Huyo anatumika ku spin mambo kwenye mitandao ,kijana wa Waziri katibu wa Mama ,project ya Serikali kama alivyo Nabii Tito ,angekuwa anafanya bila kuwa na back up ya Kizimkazi zamani angekuwa ashatiwa NYAVUNI ,ukimuona KOBE juu ya mti ujue amewekwa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…