Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Lakini mkuu kufanya yote hayo inahitajika pesa ,regardless anapesa kweli au hana huwezi kufeki unapesa ukusanye yatima zaidi ya 120 wakale kuku KFC shoping mlimani city ,uwape mitaji mama ntilie na matukio mengine ya misaada kama hayo bila pesa hutoboi na wala tusingekuwa tunamuongelea hapa..san tungemsikia anagombe jambo mahali flani lakini mpango huo hana..ila maskini tunamakasiriko sana aisee emb maskini mwingine ajitokeze afake kama Chief tumuone
 
Anaijua vema siri ya utajiri huwa ni Utoaji! Haijalishi utajiri huo umetoka kwa mamlaka yapi! Siri huwa ni utoaji.
 
Nchi za kibepari zina abudu mafanikio lakini ni yale yaliyopatikana kwenye njia halali na sio kwa ujanja au ulaghai.......kama vile kukwepa kodi, kuuza mihadarati na mengine yaliyo kinyume na sheria zao.......

Ndio maana kule kila tajiri ukifungua profiles zake unakuja kujua anajihangaisha na nini tofauti na huku kwetu.......
 
Huyu ni mmoja tu kati ya watu wanaopata hela za manyoka toka kwa mganga wa kienyeji huko Tunduma.

Hela hizi ni mateso tu na hazina muda mrefu. Hayo yote yankujiinyesha anakula maisha ndiyo masharti aliyopewa. Hapaswi kukaa na fedha bali awe anagawa na kununua magari.

Huyu Chief Godlove Mwakibete kama anavyojiita atakuja kupotea tu hata familia isione mwili wake.

Wala msimuonee wivu, ni mateso tu
 
duh! Bongo unafiki hautoisha ila una hoja usikilizwe mkuu
 
Umeuliza swali kwa kuona kuwa million 40 ni fedha nyingi au kwa sababu alizitumia kwa watu wasiokuwa wa familia yake?
Mimi ningeweza kuuliza swali kama hili iwapo mwenye fedha angetumia angalau million 400!
 
Imuhoji alikuibia Mkuu... Acha unoko na kujudge maisha ya mwanaume mwenzako ukute mwenzio anafukuliwa au pesa zinajaa ndoo akiamka asubh... Ni kama yule aliyekuwa akilala kwenye jeneza kama ni simple kajaribu...
 
Masikin tafuta pesa,wenye hela wanawaza kuongeza mitaji yao na kukuza biashara mda wa kujadili mtu tunatoa wap😂😂
 
Kwa mazingira hayo, karibia matajri wote wa huku watakuwa kwenye hiyo changamoto.
 
Nakumbuka Mzee R.A. Mengi,
Kila mwaka aliweka sherehe na kula chakula na wasio jiweza na walemavu.
Bila shaka biashara za Mengi unazijua.
 
Mtoa mada ana hoja asikilizwe.
Hajakataa mtu kuwa tajiri likini show za yule dogo zilitakiwa zitoe mwaliko wa kiuchunguzi kwa mamlaka za udhibiti mbali mbali ili kubaini uhalali wa hela zake.Tusipumbazwe na tambo zake twende deep tujue anajishughurisha na nini isije ikawa dogo amehack mfumo wa Control number malipo ya serikali yanaenda kwake.
Ana connections na kina Lugumi anyway nisije onekana nina wivu nae naishia hapa
 
Umewahi ona matajiri kama Rostam Aziz,Mo Dewji, GSM, Bakhresa wakipiga picha kama hivi?
 

Attachments

  • 464773763_526185046920330_1464972540281789278_n.jpg
    64.8 KB · Views: 2
Mbona watu wivu unajuwa jamaa anaweza ingiza pesa ivo kwa anachokifanya endapo ataanzisha gofundme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…