Chukua hii,
-Matajiri wa kweli hawatoi misaada kwa kujitangaza na hawana mashindano ya kuoneshana nani anapesa Zaidi
-Matajiri wanao jitangaza, kiuhalisia sio tajiri huyo. "Pesa haitaki kelele!" huyo ana njaa ya fedha na umaarufu.
Anachokifanya;
kuwalipa wenye media mbali mbali kutangaza au kuchapisha taarifa zake za kumsifia.(kumpaisha)
Ana miliki chawa wenye akaunti nyingi na kumsifia sifia kwenye social medias karibu zote.
Mpaka sasa, siyo yeye waa chawa wake wanao weza kusema jamaa ana biashara gani, hii hakuna 😀 😀.
Matajiri ni wale wamiliki wa mashamba, majengo, viwanda, makampuni kwenye sekta mbalimbali, hisa nk nk.