Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Hata kama ameiba angalau amewapa masikini kuliko wezi wanaotuibia huku wanaojenga Dubai.
 
Angekuwepo Yule rais wa wanyonge uchwara angekuwa ameishazaa nae mtoto wa kiume anaeitwa "uhujumu uchumi"
 
Mhh mwanaume kabisa unakua snitch hvi eti serikali imchunguze, kwa taarifa yako hakuna tajiri asie mafia ndo wanaongoza kudhulumu na kumwaga damu na kukwepa makodi vigogo serikalini ndo usiseme basi wafatiliwe wote acha undeZi.
 
👏🏾👏🏾👏🏾
 
Hii BONGO ukiamua kusaidia shida ukiamua kuuchuna tabu… acha wivu mzee tafuta pesa
 
Wewe unafanya shughuli gani inayokuingizia KIPATO, weka na ushahidi alafu ndio tutaendelea na huyo Godlove
 
Bila shaka wala kumungunya maneno HUNA HELA kama unazo za KULA tu .
 
..Dah kumbe nabii Tito naye ni project ya serikali! ama kweli nchi hii ngumu sana. Si kwa yale maupumbavu anayofanya.!!
 
Freemason huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…