super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,057
- 825
Wewe ndo chief G????Acha wivu huu ni wivu tu hamna lolote tafuta hela masikini wewe
Maana ndo majibu yake haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo chief G????Acha wivu huu ni wivu tu hamna lolote tafuta hela masikini wewe
Hata kama ameiba angalau amewapa masikini kuliko wezi wanaotuibia huku wanaojenga Dubai.Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Sasa mbona umekuwa mjinga mjinga sana shida nini?Nina degree kali sana ambayo ukiiona utabaki unabubujikwa na machozi
Mbona Mo haonekani kuwa ni fisadi?Tanzania ukionekana unahela nyingi inaonekana ni fisadi.
Angekuwepo Yule rais wa wanyonge uchwara angekuwa ameishazaa nae mtoto wa kiume anaeitwa "uhujumu uchumi"Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Huyu ni mwalimu tena ni wa masomo ya Sanaa, wakati wenzie kipindi kile tunakomaa Na physics, yeye alikuwa akijifanya ni bingwa wa kukwea miti ya maparachichi kutwa nzima anashinda anavundika maparachichi🤣Sasa mbona umekuwa mjinga mjinga sana shida nini?
👏🏾👏🏾👏🏾Relax! Kila mmoja achange karata zake vizuri!
Utajiri Ni Siri! Sababu unahusisha mambo ya Kiroho.
Muda ukifika nitakuja kuleta ushuhuda hapa sio leo wala kesho hata kama ni miaka 2 mbele jinsi mapito yangu mpaka nilipokuja kufanikiwa ili vijana wajifunze sometimes utajiri unakwenda na Bahati!
Wewe unafanya shughuli gani inayokuingizia KIPATO, weka na ushahidi alafu ndio tutaendelea na huyo GodloveKweli Wakuu ni lazima tuhoji huyu Chief Godlove na hela zake za maonyesho ana miradi gani ya kumuingizia hizo pesa za maonyesho ? Hatuna wivu lakini ni muhimu pia kujua, maana wenye hela huwa hawapigi nazo picha na kuweka mitandaoni. Tunachokiona mitandaoni ni bidhaa zao zinazowafanya waitwe matajiri lakini hawapigi picha na hela zao. Muhimu TRA Tanzania na vyombo vingine vilichunguze hili. Vijana wengi wanaathirika kisaikolojia wanavyoangalia hizi video na kejeli zake huyu Chief Godlove
🤣🤣🤣Wewe unafanya shughuli gani inayokuingizia KIPATO, weka na ushahidi alafu ndio tutaendelea na huyo Godlove
Au mnasemaje ndugu zangu?NAAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MARA MOJA.
Bila shaka wala kumungunya maneno HUNA HELA kama unazo za KULA tu .Shetani akamchukua mwana wa adamu mpaka kwenye kilele cha mlima na kumuonyesha mali zote za dunia, akamawambia '' ukiniabudu na kunisujudia, nitakupa mali hizi zote za dunia.''
Kwa maelezo hayo, wewe maisha yako ni magumu kwa sababu hutaki kumsujudia.
..Dah kumbe nabii Tito naye ni project ya serikali! ama kweli nchi hii ngumu sana. Si kwa yale maupumbavu anayofanya.!!Huyo anatumika ku spin mambo kwenye mitandao ,kijana wa Waziri katibu wa Mama ,project ya Serikali kama alivyo Nabii Tito ,angekuwa anafanya bila kuwa na back up ya Kizimkazi zamani angekuwa ashatiwa NYAVUNI ,ukimuona KOBE juu ya mti ujue amewekwa huyo.
Freemason huyoKijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji