Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

MWANAMITINDO mwenye shepu ‘tata’ Corazon Kwamboka amechafuka mtandaoni mara baada ya kutupia picha ya nusu utupu akiwa na Mzungu anayedaiwa kuwa ni mchumba wake.

Corazon ambaye pia ni mwanasheria nchini Kenya, aliweka picha hiyo ikimuonesha akiwa kifua wazi na Mzungu huyo huku akiwa ameshikiliwa kifua chake.

“Mwendo wa ufukweni,” aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kutokana na picha hiyo, Corazon alipokea matusi mfululizo huku wengine wakimsema vibaya Mzungu wake kwa kitendo cha kumshikilia vibaya kifuani tena hadharani.
Mkuu kama umepiga mruzi jela inakuhusu; mimi simo
 
Yaani hapo si kukohoa tu unaweza ukabanja kabisa.Wazungu huwaga hawanaga haramu,utakuta dada anacheka hapo linda hamna limebaki solo.
hahaaa eti limebaki solo ""! kwahiyo full time lina piga mlunzi..."" na hilo sio lakuuliza aisee...""lazima awe amebaki solo tu""
 
Huyu mwanamke nilimuona hana akili na hajaelimika siku alipoamua kuwadiss wanaume wakiafrika kisa yupo na huyo jamaa mzungu..amakweli akili za watu wengine bado ni za ki mental slavery
 
Ukiwa na roho mbaya hata mtu akijiachia kivyake tu utaona cha kumtukana.

Na ukiwa na roho nzuri hata mtu akikutukana, utaweza kumsamehe kwa kumfikiria matatizo anayoweza kuwa nayo katikamawazo yake yaliyomfanya akutukane bila kukusudia.

Ndivyo tabia zinavyoweza kugeuza zuri kuwa baya, na baya kuwa zuri.
 
Mnaweza kuweka hapa huyo mwanasheria wa mahakama kuu ya Kenya kesi ambazo amezisimamia na kushinda?
 
Ukiwa na roho mbaya hata mtu akijiachia kivyake tu utaona cha kumtukana.

Na ukiwa na roho nzuri hata mtu akikutukana, utaweza kumsamehe kwa kumfikiria matatizo anayoweza kuwa nayo katikamawazo yake yaliyomfanya akutukane bila kukusudia.

Ndivyo tabia zinavyoweza kugeuza zuri kuwa baya, na baya kuwa zuri.
Mkuu nimekuelewa Watanzania ni watu wenye stress sana kuna watu wamechangis huu uzi utadhani wanamuelewa sana huyo Corrazon
 
MWANAMITINDO mwenye shepu ‘tata’ Corazon Kwamboka amechafuka mtandaoni mara baada ya kutupia picha ya nusu utupu akiwa na Mzungu anayedaiwa kuwa ni mchumba wake.

Corazon ambaye pia ni mwanasheria nchini Kenya, aliweka picha hiyo ikimuonesha akiwa kifua wazi na Mzungu huyo huku akiwa ameshikiliwa kifua chake.

“Mwendo wa ufukweni,” aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kutokana na picha hiyo, Corazon alipokea matusi mfululizo huku wengine wakimsema vibaya Mzungu wake kwa kitendo cha kumshikilia vibaya kifuani tena hadharani.
Ninachompendea huyu mdada sitojali yote wanayoongea juu yake nnachompendea ni kwanza ni mzuri,ana umbo zuri ukichanganya na hilo tako but mwisho kabisa ni msomi wa kutukuka sio kama hawa madada zetu wa bongo she iz beauty with brain achana na mambo unayoyaona kuhusu yeye maana hakuna mkamilifu chini ya jua
 
Mkuu nimekuelewa Watanzania ni watu wenye stress sana kuna watu wamechangis huu uzi utadhani wanamuelewa sana huyo Corrazon
Mimi nina mtotommoja mkali sana wa ki Dominica huyo, kila akiniona anaiita "Mi Corazon".

Mpaka nikaanza kujifunza Ki Spanish nijue huyu ana maana gani kuniita "Mi Corazon"?

Nikaja kufahamu kumbe Corazon maana yake ni "heart" katika Ki Hispania, anaposema "Mi Corazon" maana yake "my heart"alikuwa ananiita mimi moyo wake.

Sasa mtu ambaye ana hulka ya mapenzi mapenzi na kutunukiwa tunukiwa hivyo akisikia jina la mtu Corazon anakuwa anafurahi tu, anajua huyo mtu ana hulka ya kimapenzi mapenzi kama jina lake.

Hata nikiona anapost picha hivyo sishangai.

Sasa aje mtu na njaa zake huko hata hajui Corazon maana yake nini, na yeye alitaka apate mzungu wake hajapata pengine, lazima hate rate ipande.
 
Corazon ni mwanamke haswa!! Ukiskia mwanamke ndio huyu sasa!! Check zigo la makinikia hilo mamamamae hata gari nahonga!
 
Back
Top Bottom