Huyu dada anahitaji kusaidiwa

Huyu dada anahitaji kusaidiwa

Kwa kuwa umesema hauko tayari kumsaidia. Mwambie ili ajue cha kufanya. Usimpotezee muda, mwenzio anaumwa
 
"Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari.

Wewe na yeye, nyote mnahitaji Msaada, Mkuu!
Hapana mimi napata msaada kila siku.
 
Back
Top Bottom