Huyu dada ananichanganya sana.

Huyu dada ananichanganya sana.

Leo nimekuja kuangalia maendeleo ya binti yangu anayesoma katika huu mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kutoka hapo imebidi niingie kiwanja kimoja hapa angalau kujiliwaza na kupunguza uchovu wa safari.

Imebidi niagize altar wine na maji, angalau iniliwaze kwa mazingira haya niliopo kwa sasa.

Kwa mbele yangu namuona mrembo yuko mezani peke yake amesimama anapiga savana, huku akicheza hizi nyimbo za Congo, kinachonivutia zaidi kwake, miguu na kiwili wili hakichezi, ila chura anaizungusha kwa taratibu na kwa madaha kweli kweli; ama kweli watu wa moshi mnafaidi.

Leo nitalala hapa hapa sitoki, ngoja nipange mistari ya kumsogelea, nitawapa mrejesho.

Nawatakia wkend njema; kula maisha, maisha ni haya haya.​
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…karibu kwetu
 
Wa ushirika hao na wamefunga chuo na ana Sup 7, Jichanganye usije kusema hatukukuambia.

All in all kula nyama na nyama, Ukikosa njoo PM nikupeleke kule Tulivu ukale mbususu kwa 10,000 Tsh,

Na-comment kutoka mitaa flan hapa Moshi
Ila kwa muonekano wake,amenichanganya kweli; Pale pub albeto kwa siku hizi huwa kuna wazungu usiku?
 
Ata kama ni mtego, acha tu tule vitu vizuri mkuu, kwa sababu sitafuti mke zaidi ya burudani tu ๐Ÿ˜€
Ukienda huku unajua huu ni mtego utaenjoy saana, ila ukienda kwa kuona umepata, utakula za kichwa.
Madhari umekubali unaenda kama fursa, basi hakuna tabu kula raha, maisha mafupi
 
Altar wine itakuchelewesha.

Chukua konyagi ndogo bugia.

Kisha kwa kujiamini na madoido msogelee.
 
We're living in the hunting world. Tunawindana kwa sababu tunategemeana.

Hapo ulipo, naye anakupigia hesabu. Lile jamaa lipo very composed. Hataki mataputapu, wine yake taratibu.

Ila anaonekana kupenda mauno yangu, acha niyaongeze ajae kimiani.
 
Ukienda huku unajua huu ni mtego utaenjoy saana, ila ukienda kwa kuona umepata, utakula za kichwa.
Madhari umekubali unaenda kama fursa, basi hakuna tabu kula raha, maisha mafupi
Kwa anavyonesa, najua nitafaidi sana ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ; ana swaga za kike zilizopitiliza
 
Altar wine itakuchelewesha.

Chukua konyagi ndogo bugi.

Kisha kwa kujiamini na madoido msogelee.
Nikichanganya vilevi vinaweza kunipa shida mkuu, ngoja nipige mdogo mdogo hivi hivi, kuna ishara fulani nimemuonyesha, naona anachekelea tu ๐Ÿ˜€
 
We're living in the hunting world. Tunawindana kwa sababu tunategemeana.

Hapo ulipo, naye anakupigia hesabu. Lile jamaa lipo very composed. Hataki mataputapu, wine yake taratibu.

Ila anaonekana kupenda mauno yangu, acha niyaongeze ajae kimiani.
Acha tuwindane tu, na wkend hii sina papara ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Unapanga mistari ya Nini hapo panga hela basi umemaliza yani hapo ye anaona hela ikifika asubuhi aweze kula
 
Unapanga mistari ya Nini hapo panga hela basi umemaliza yani hapo ye anaona hela ikifika asubuhi aweze kula
Napanga na mastaili nitakayoyatumia ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€, toto rangi ya chungwa kiuno kimejazia, kweli dunia ina warembo
 
Napanga na mastaili nitakayoyatumia ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€, toto rangi ya chungwa kiuno kimejazia, kweli dunia ina warembo
kama ni wewe umekaa kwenye kona hapa redstone nakuona jinsi unavyo kodoa macho kwenye wezere la kichaga.
 
Napanga na mastaili nitakayoyatumia ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€, toto rangi ya chungwa kiuno kimejazia, kweli dunia ina warembo
Niamini Mimi ukiweka mistari mingi atajua huyu anaenda kunipa 10000,ulizia price tag basi maisha yamekuwa mtihani sana.
 
Napanga na mastaili nitakayoyatumia ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€, toto rangi ya chungwa kiuno kimejazia, kweli dunia ina warembo
Mwamba unafeli, "....we uliza, short time kiasi gani?" Unajipanga kwa mistari miingi.
 
Nikiwa moshi au Iringa huwa napendelea kula mbususu za wazungu.
 
Back
Top Bottom