Huyu dada ananirusha roho

hakyanainii... !!! ulichopenda nini hapooo... sura kama anapuliza puto??
 
hakyanainii... !!! ulichopenda nini hapooo... sura kama anapuliza puto??
Nampenda bado sijui utasema nn kunibadilisha na kwang mm she is classic and loving woman
 
I love her...

anavaa uhusika anapoact...anapendeza most of the time... akilia you can feel it...akiwa na furaha you can see it.
hawa wanaomsema vibaya they judged her wrongly
Umeona heaven ...hao hua wanangalia tamthilia kujifurahisha they dont see hata uhalisia wa mtu anachoekti ..wamezoea wabongo mtu unamuona wazi ana pretend ...hawa unaoma reality ndo mana kama unavosema u feel it sometimes when they cry or be happy...

Heaven unakumbuka kama juzi kitandani hospitali alipokua amelazwa?
 
Hongera mkuu kwa kutoa ya moyon
Ila hv kumbe bado kuna wapenz wa isidingo kindakindaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…