Huyu dada ananirusha roho

Huyu dada ananirusha roho

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kgmotso Christopher ndio jina lake halisi lakini wengi wapenz wa isidingo wanamfahamu kama Katlego...

Huyu dada nampenda tu bas. Embu sema neno lolote kwa huyu dada kwa wapenzi wa Isidingo!!.
1476000486476.jpg
 
hakyanainii... !!! ulichopenda nini hapooo... sura kama anapuliza puto??
 
I love her...

anavaa uhusika anapoact...anapendeza most of the time... akilia you can feel it...akiwa na furaha you can see it.
hawa wanaomsema vibaya they judged her wrongly
Umeona heaven ...hao hua wanangalia tamthilia kujifurahisha they dont see hata uhalisia wa mtu anachoekti ..wamezoea wabongo mtu unamuona wazi ana pretend ...hawa unaoma reality ndo mana kama unavosema u feel it sometimes when they cry or be happy...

Heaven unakumbuka kama juzi kitandani hospitali alipokua amelazwa?
 
Hongera mkuu kwa kutoa ya moyon
Ila hv kumbe bado kuna wapenz wa isidingo kindakindaki
 
Back
Top Bottom