Kuna moja inaitwa backstage ivi bado ipo? Nilikua naipenda enzi hizo hasa kuna mkaka alikua anaitwa Ziggy...looh inabidi nitenge muda wa kuangalia hivi vitu...korean series zimenitekaAisee imekua nzuri sana nyati kaondoka baba yake lerumo kaappear yani sasa hivi utamu ndio umefika mahali pake
Scandal kwa mara ya kwanza niliiangalia wakati niko south....hivi kwa hapa inapatikana channel gani na king'amuzi gani?Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold digger
Hiyo backstage siifahamu ila wasouth wanajua kuigiza sanaKuna moja inaitwa backstage ivi bado ipo? Nilikua naipenda enzi hizo hasa kuna mkaka alikua anaitwa Ziggy...looh inabidi nitenge muda wa kuangalia hivi vitu...korean series zimeniteka
Kwenye scandal....Thandeka ameishia wapi na kesi yake? Mana yule mwanasheria wake ni kama Tundu Lissu.....yani nilitokea kuipenda sheria gafla kutokana na yule Lawyer wa Thandeka......alikuwa ananifurahisha sana.Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold digger
Inapatikana e.tv kwenye king'amuzi cha startime au dstv mie ndio naangalia hukoScandal kwa mara ya kwanza niliiangalia wakati niko south....hivi kwa hapa inapatikana channel gani na king'amuzi gani?
Asante mwaya.Inapatikana e.tv kwenye king'amuzi cha startime au dstv mie ndio naangalia huko
Mi ningefanya kwa zukisa afu nadhani ni picha tu hapo maana najua katlego ana chura flani round kifupi ndani ya isidingo hakuna mbaya.Kgomotso mzuri sana na ni bonge la actress alipoondoka tu isidingo...scandal wakamdaka faster...hata mimi ananirusha roho angekuwa hajaolewa ningefanya yangu
Alishinda kesi kwa sasa hayupo aliondoka baada ya kesi kuisha.Mie mwenyewe nilivutiwa na sheri kisa yule kaka maana kila hoja alipanguliwa hadi rahaKwenye scandal....Thandeka ameishia wapi na kesi yake? Mana yule mwanasheria wake ni kama Tundu Lissu.....yani nilitokea kuipenda sheria gafla kutokana na yule Lawyer wa Thandeka......alikuwa ananifurahisha sana.
Themb ilianza kitambo sana hii kitu kama 2007 ila thembi ni mzuri sanaNi moja ya watu ninaowachukia sana aiseew na huko alipo siku akija lazima scandal iwe scandal kweli.
Ni etv ile ile japo sifatiliiScandal kwa mara ya kwanza niliiangalia wakati niko south....hivi kwa hapa inapatikana channel gani na king'amuzi gani?
Na pia wanafanya uchaguzi wa watu wa kutokea kwenye tv ukiangalia hawa mabinti wa isidingo kuanzia waiter hadi bossy lady ni wakali siku ikiwa hainogi unachagua kuangalia lerato zukisa aphiwe niki wanapotembeaHiyo backstage siifahamu ila wasouth wanajua kuigiza sana
Uzuri wa mtu uko machoni sijui kwanini namuonaga mbaya mie nampenda anzani halafu scandal haina wadada warembo kivile.Kina dintle atleast warembo ila thambeka yeye kwa matukio tu hajamboThemb ilianza kitambo sana hii kitu kama 2007 ila thembi ni mzuri sana
Humjui we....piga kimyaHata kachura ka mto msimbazi hana
Kumbe Isidingoo ameondokaa..Maskini IsidingooKgomotso mzuri sana na ni bonge la actress alipoondoka tu isidingo...scandal wakamdaka faster...hata mimi ananirusha roho angekuwa hajaolewa ningefanya yangu
Scandal Channel ipiAnaigiza vizuri sana.Sasa hivi yupo kwenye scandal nadhani itafika muda ataondoka kwenye isindigo ndio maana anaonekana kwenye scandal ila anajua sana kuigiza huyu dada
Unakeshaa..Mume Na watoto unawahudumia SAA ngapi au kama Miss Natafuta Gal alone??Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold digger
etv south wanaangalia saa 19:30 so kwa maana hiyo hapa kwetu ni saa 20:30 na yenyewe nzuri imekwenda shule ukianza kuifuatilia hauta-stopScandal Channel ipi