Huyu dada ananirusha roho

Huyu dada ananirusha roho

Aisee imekua nzuri sana nyati kaondoka baba yake lerumo kaappear yani sasa hivi utamu ndio umefika mahali pake
Kuna moja inaitwa backstage ivi bado ipo? Nilikua naipenda enzi hizo hasa kuna mkaka alikua anaitwa Ziggy...looh inabidi nitenge muda wa kuangalia hivi vitu...korean series zimeniteka
 
Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold digger
Scandal kwa mara ya kwanza niliiangalia wakati niko south....hivi kwa hapa inapatikana channel gani na king'amuzi gani?
 
Hiyo backstage siifahamu ila wasouth wanajua kuigiza sana
 
Kwenye scandal....Thandeka ameishia wapi na kesi yake? Mana yule mwanasheria wake ni kama Tundu Lissu.....yani nilitokea kuipenda sheria gafla kutokana na yule Lawyer wa Thandeka......alikuwa ananifurahisha sana.
 
Inapatikana e.tv kwenye king'amuzi cha startime au dstv mie ndio naangalia huko
 
Kgomotso mzuri sana na ni bonge la actress alipoondoka tu isidingo...scandal wakamdaka faster...hata mimi ananirusha roho angekuwa hajaolewa ningefanya yangu
Mi ningefanya kwa zukisa afu nadhani ni picha tu hapo maana najua katlego ana chura flani round kifupi ndani ya isidingo hakuna mbaya.
 
Kwenye scandal....Thandeka ameishia wapi na kesi yake? Mana yule mwanasheria wake ni kama Tundu Lissu.....yani nilitokea kuipenda sheria gafla kutokana na yule Lawyer wa Thandeka......alikuwa ananifurahisha sana.
Alishinda kesi kwa sasa hayupo aliondoka baada ya kesi kuisha.Mie mwenyewe nilivutiwa na sheri kisa yule kaka maana kila hoja alipanguliwa hadi raha
 
Hiyo backstage siifahamu ila wasouth wanajua kuigiza sana
Na pia wanafanya uchaguzi wa watu wa kutokea kwenye tv ukiangalia hawa mabinti wa isidingo kuanzia waiter hadi bossy lady ni wakali siku ikiwa hainogi unachagua kuangalia lerato zukisa aphiwe niki wanapotembea
 
Themb ilianza kitambo sana hii kitu kama 2007 ila thembi ni mzuri sana
Uzuri wa mtu uko machoni sijui kwanini namuonaga mbaya mie nampenda anzani halafu scandal haina wadada warembo kivile.Kina dintle atleast warembo ila thambeka yeye kwa matukio tu hajambo
 
Kgomotso mzuri sana na ni bonge la actress alipoondoka tu isidingo...scandal wakamdaka faster...hata mimi ananirusha roho angekuwa hajaolewa ningefanya yangu
Kumbe Isidingoo ameondokaa..Maskini Isidingoo
 
Anaigiza vizuri sana.Sasa hivi yupo kwenye scandal nadhani itafika muda ataondoka kwenye isindigo ndio maana anaonekana kwenye scandal ila anajua sana kuigiza huyu dada
Scandal Channel ipi
 
Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold digger
Unakeshaa..Mume Na watoto unawahudumia SAA ngapi au kama Miss Natafuta Gal alone??
 
Back
Top Bottom