Huyu dada ananirusha roho

Alishinda kesi kwa sasa hayupo aliondoka baada ya kesi kuisha.Mie mwenyewe nilivutiwa na sheri kisa yule kaka maana kila hoja alipanguliwa hadi raha
Yani yule lawyer ni noma...mpaka wenyewe walimkubali aiseee......yani tena anaipingua hoja mpaka unajiona wewe ndiyo una makosa.
 
Yani yule lawyer ni noma...mpaka wenyewe walimkubali aiseee......yani tena anaipingua hoja mpaka unajiona wewe ndiyo una makosa.
Yule ni mafia sana na asingesimamiwa na yeye angeshindwa kesi
 
Yule ni mafia sana na asingesimamiwa na yeye angeshindwa kesi
Yani watu wana vidhibitisho vyote lakini wanashindwa....nilipenda pale cctv ilivyoonyesha anavuta sigara usiku wa harusi yake.....dah yule lawyer alivyoipingua ile hoja dah......mpaka bro wangu akasema huyu mwanasheria kama nje ya uigizaji ni mwanasheria kweli....basi jamaaa ni kichwa.
 
Sasa yule lawyer mwenyewe alimpa salute thambeka maana thambeka alijua kuwa inaweza kuja kuleta shida thats why alivyotoka kuutupa ule mwili akaenda kuvuta sigara akijua pale kuna cctv camera ila ikija kujulikana kuwa alitoka usiku asingizie alienda kuvuta sigara.Thambeka ni mafia sana yani hauwezi kumunderestimate
 
Kwa kwel
kwa kweli mana kuna wakati alimaifia aisee.........dah nilijua baada ya kurudi bongo sitaweza kuiona kumbe e.tv wanaonyesha.
 
Kwa kwel

kwa kweli mana kuna wakati alimaifia aisee.........dah nilijua baada ya kurudi bongo sitaweza kuiona kumbe e.tv wanaonyesha.
Yah inaoneshwa na hata ukimiss kuona unaweza iangalia kupitia youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…