sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Yani yule lawyer ni noma...mpaka wenyewe walimkubali aiseee......yani tena anaipingua hoja mpaka unajiona wewe ndiyo una makosa.Alishinda kesi kwa sasa hayupo aliondoka baada ya kesi kuisha.Mie mwenyewe nilivutiwa na sheri kisa yule kaka maana kila hoja alipanguliwa hadi raha