Huyo dada kaongea ukweli....kwani "umoja ni nguvu na utengano ni uzaifu" ..ila kwa sisi waafrika nadhani **** mambo baadhi inabidi turekebishe....Kama vile mahusiano ya ndoa...wenzetu hawa wengi wanaoana ndugu kwa ndugu....
Inasadia kutunza mali za ukoo....tofauti na kuoa ukoo mwingine...lakini kubwa zaidi ni uaminifu....sisi waafrika wengi sio waaminifu....tunapenda mafanikio ya haraka Sana....wengi wamejaribu kufanya biashara na ndugu....wameishia kuibiwa tu....tena wengine kwa kushawishiwa na baadhi ya marafiki na ndugu wengine....kidogo wachaga na wakinga wanajitahidi.