Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Atakuwa mwanaume anatumia picha ya mwanamke wapo wengi tu mitandaoni kuibia watu
 
Erica huyoo namjua kuliko si mwizi hata sema watu wanatumia pic zake tuu ashakua dem wa bro ang rafik ake na tunda mda mwing wanakua ote
 
Mkuu hoyo kwani anatafauti gani na matapeli wengine
 
whaaaaaaaaaaaaaaaaaaat naomba umtake lazii shem wako kwa ulivyomchafuaaa uku
 
Huyu kuna uwezekano mkubwa akawa ni MWANAUME tapeli anayetumia picha ya kike kufanya utapeli wake. Watch out!
 
Nimefuatilia hii thread muda sana ila huyo binti namfahamu anaitwa vicky mmenifanya nimtafute nikirudi nyumbani kwa sasa niko honey moon,

Namfahamu vilivyo ni binti anaejipenda sana nimeshampa lift mara nyingi na kwenye harusi yangu alikueopo

Sina hakika kama hizo sifa ni zake labda kwa kua mimi ni wa JF na Twitter huko kwingine sina muda napo uhenda iyo ikawa reason behind
 
kulalamika hakusaidii tuacheni umalaya jamani hata mimi nina mpango wa kutengeneza account ya nyingine halafu naweka picha ya demu mkali kiasi kwamba wakora mkiona tu picha udenda unawatoka
 

Umeona maajabu sasa haya??,,,,,,,Hapo juu kuna watu wanasema wanamjua anaitwa erica ,,wengine wamesema wanamjua anaitwa shani,,wengine wanasema anaitwa lucy shayo,,wengine wanasema ni shemeji yao ,sasa atakuwa ni mtu wa namna gani huyu?

Ww naye unasema anaitwa vick ,,hili ni lijambawazi
 
Sasa kama unatafuta wafu makaburini cha ajabu nini? Hiyo picha sio yake, ameichagua tu mtandaoni awaweke wakora sawa. Huo ndio unaitwa mtama kwa watoto. Na usijeshangaa mwenye kuyafanya mambo haya ni mwanaume
Dah....aiseee........
 
Acha atuibie si unaona mwenyewe huyo ni kuku wa kienyeji mubashara unatafuna hadi mifupa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…