Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Wazungu wanavyopenda kutumia 0712 na huyu hapo nadhani no marinda hapo.Huyu dada anaitwa Renatha. Sdhan km ni star. Namuona kule fb. Kaolewa na mzungu anaishi Sweden km sikosei.
Anaishi Sweden mbona hizo picha zinaonekana zimepigwa na maphotographer wa kibongo tena uswahilini!Huyu dada anaitwa Renatha. Sdhan km ni star. Namuona kule fb. Kaolewa na mzungu anaishi Sweden km sikosei.
Huyu ni star of cow.Wakati tunaisomba namba na kuisubiria Tanzania ya Viwanda naomba kufahamu tu huyu ni dada star gani, maana mara nyingi naona anatupiwa sana mitandaoni akiwa katika mapozi tofauti bila shaka hata wewe umehawi kuona hilo.
View attachment 437829 View attachment 437831
Japo kujua usiyoyajua si mbaya, maana wanamrusha tu bila kutaja ni nani.
Miss NatafutaBila shaka huyu ni Miss Natafuta!
Na hao wakina nani tena?
Kwani hakuna Sweden uswahilini?Anaishi Sweden mbona hizo picha zinaonekana zimepigwa na maphotographer wa kibongo tena uswahilini!
Ndo huyo huyo anayeulizwa na mtoa mada. Anaitwa RenathaNa hao wakina nani tena?
Labda yaweza kuwa maarufu lakn navyoona mm sio maarufu sema kaolewa na mzungu wanaishi huko Sweden. Mtoto anaonekana anazunguka dunia. Kapga pale Udsm na ana mtoto mmoja wa kiumeMimi nilijua mtu maarufu, maana picha zake zinavyosambaa na hata wengine wameziweka kama Profile.
Poa mkuu,haya macho yangu naona yanashida!Ndo huyo huyo anayeulizwa na mtoa mada. Anaitwa Renatha
anaitwa caroline mndemeWakati tunaisomba namba na kuisubiria Tanzania ya Viwanda naomba kufahamu tu huyu ni dada star gani, maana mara nyingi naona anatupiwa sana mitandaoni akiwa katika mapozi tofauti bila shaka hata wewe umehawi kuona hilo.
View attachment 437829 View attachment 437831
Japo kujua usiyoyajua si mbaya, maana wanamrusha tu bila kutaja ni nani.
Kwan kuishi Sweden hawez kuja bongo? Hzo picha nyng ni za zamani kabla hajaolewa. Huyo mschana ni mbongo na kaolewa na mzungu.Anaishi Sweden mbona hizo picha zinaonekana zimepigwa na maphotographer wa kibongo tena uswahilini!
Sidhani kama ndo yeye maana hawafanani kabisaNdo huyo huyo anayeulizwa na mtoa mada. Anaitwa Renatha
Ndio, hakuna Sweden uswahiliniKwani hakuna Sweden uswahilini?
Miss natafuta yupo Yemen sio SwedenBila shaka huyu ni Miss Natafuta!