Huyu dada ni 'Star' gani?

Huyu dada ni 'Star' gani?

Huyu dada anaitwa Renatha. Sdhan km ni star. Namuona kule fb. Kaolewa na mzungu anaishi Sweden km sikosei.
 
e20905b08ba672b8f26f67200f48eca1.jpg
ba7976a04e2cb6759de83e6de0b0a8e7.jpg
1b502a44134215d5693ac5948c999a46.jpg
cbed1e622ad29d85f82193ad0022f3c4.jpg
 
Wakati tunaisomba namba na kuisubiria Tanzania ya Viwanda naomba kufahamu tu huyu ni dada star gani, maana mara nyingi naona anatupiwa sana mitandaoni akiwa katika mapozi tofauti bila shaka hata wewe umehawi kuona hilo.

View attachment 437829 View attachment 437831

Japo kujua usiyoyajua si mbaya, maana wanamrusha tu bila kutaja ni nani.
Huyu ni star of cow.
NYOTA YA NG'OMBE
 
Mimi nilijua mtu maarufu, maana picha zake zinavyosambaa na hata wengine wameziweka kama Profile.
Labda yaweza kuwa maarufu lakn navyoona mm sio maarufu sema kaolewa na mzungu wanaishi huko Sweden. Mtoto anaonekana anazunguka dunia. Kapga pale Udsm na ana mtoto mmoja wa kiume
 
Wakati tunaisomba namba na kuisubiria Tanzania ya Viwanda naomba kufahamu tu huyu ni dada star gani, maana mara nyingi naona anatupiwa sana mitandaoni akiwa katika mapozi tofauti bila shaka hata wewe umehawi kuona hilo.

View attachment 437829 View attachment 437831

Japo kujua usiyoyajua si mbaya, maana wanamrusha tu bila kutaja ni nani.
anaitwa caroline mndeme
 
Anaishi Sweden mbona hizo picha zinaonekana zimepigwa na maphotographer wa kibongo tena uswahilini!
Kwan kuishi Sweden hawez kuja bongo? Hzo picha nyng ni za zamani kabla hajaolewa. Huyo mschana ni mbongo na kaolewa na mzungu.
Mfano wa picha ya zamani ni hii kipindi akiaa second year Udsm km anavyodai yyy
cd291f771c96ae4d831462a8262da76e.jpg
 
Back
Top Bottom