Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,321
Picha nilizoweka mimi na ulizoweka wewe ni Mbingu na Ardhi, hawafanani hata nukta.
Nimegundua kuwa humjui kabisa!
Mkuu tafwadhali tupe jina lake la mtandaoni na sisi tufaudu kidogo
Angalia hiyo. Unajua picha zake tamu ni kipindi hajaaolewa km hyo hapo juu. Sasa ukimuangalia kipnd hiki anaaweza kuwa kabadilika kidogo.
Swez kukubshia maana hzo nii picha alizoweka kwny kurasa wake mtandaoni akisema ni yy
Nenda fb. Tafuta Renater MorganMkuu tafwadhali tupe jina lake la mtandaoni na sisi tufaudu kidogo
Fb anatumia Renater Morgan.Haya nipe link au majina yake anayotumia kwenye ukurasa wake nikaprove.
Naweza kukubaliana na ww.Mkuu nimepitia hiyo profile yake nachokiona ni vitu viwili tofauti, yeye na hizo picha kama aliwaambia ndio yeye basi aliwafunga kamba.
Lakini hatuwezi jua pengine amefanya Plastic Surgery.
Anaishi ArushaAnaishi Sweden mbona hizo picha zinaonekana zimepigwa na maphotographer wa kibongo tena uswahilini!
Ni kweli mkuu na mimi nimepita huko naona tofauti kabisa na inavyodaiwa hapa!!Mkuu nimepitia hiyo profile yake nachokiona ni vitu viwili tofauti, yeye na hizo picha kama aliwaambia ndio yeye basi aliwafunga kamba.
Lakini hatuwezi jua pengine amefanya Plastic Surgery.
Hahaha jamaa ana tatizo hizo picha zote za chini hazina uhusiano na huyo uliyemweka ,picha zote hizo ni wanawake tofautiMmh! We jamaa acha Uongo mbona hawafanani kabisa?
Mbona nimeshatoa jibu langu Mkuu ? Nimesema hizo picha sio za mtu mmoja ni za wanawake tofauti kabisa achilia mbali huyu anayemfananisha nayeAwali nilimlaumu maana sio kosa lake, ameweka alichoaminishwa. Hizo picha zote kazitoa kwa huyo Renata Morgan ambaye anasema ndiye yeye, Je wewe ukizichukua hizo picha unakubaliana ni mtu mmoja?
Daah!!naona mkuu umepania kwelikweli[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe angalau unaweza ukatupa ukweli, huyo Mwanafunzi wa moro wewe unamjua?
Aje mwenyewe kudhihirisha juu ya ili lisemwalo
Kumbe unamjua alafu unauliza au Promo ?Labda yaweza kuwa maarufu lakn navyoona mm sio maarufu sema kaolewa na mzungu wanaishi huko Sweden. Mtoto anaonekana anazunguka dunia. Kapga pale Udsm na ana mtoto mmoja wa kiume
Sjasema namjua kwmb nshawah kumuona. Ila nmesema naona anapost hzo picha fb na anasema ni yy. Na mara nyng naona marafk zake wakipost picha km hzo wakisema ni yy.Kumbe unamjua alafu unauliza au Promo ?