Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,321
Picha nilizoweka mimi na ulizoweka wewe ni Mbingu na Ardhi, hawafanani hata nukta.
Nimegundua kuwa humjui kabisa!
Angalia hiyo. Unajua picha zake tamu ni kipindi hajaaolewa km hyo hapo juu. Sasa ukimuangalia kipnd hiki anaaweza kuwa kabadilika kidogo.
Swez kukubshia maana hzo nii picha alizoweka kwny ukurasa wake mtandaoni akisema ni yy