Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
Mtumweusi leta mahari home.
 
Mimi hayo macho yake huwa yananifanya nakuwa hoi kiasi kwamba yanataka kunifanya nisahau masuala yangu ya chura sasa!!
 
66cd3e118e03c37d316c7f276d86ad12.jpg
View attachment 456403
picha yenyewe siyo yake
 
Back
Top Bottom