Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Na ntakuoa soonHuyo ni mwanaume, trust me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ntakuoa soonHuyo ni mwanaume, trust me
Mtumweusi leta mahari home.Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
Unanitaftia kesiNaomba niwe mchepuko wako
tumeagizwa upendo, tupendane, embu msikilize mwenzio.Nimekuja
Kwan ni wew pekee utakuw na mchepuko hapa duniani?!Unanitaftia kesi
Sijazoea mieKwan ni wew pekee utakuw na mchepuko hapa duniani?!
Haha siku ukisahau chura najitoa JFMimi hayo macho yake huwa yananifanya nakuwa hoi kiasi kwamba yanataka kunifanya nisahau masuala ya chura sasa!!
Nishamwambia alete maharitumeagizwa upendo, tupendane, embu msikilize mwenzio.
Macho yako yasisababishe nisahau masuala ya chura please!![emoji17]Haha siku ukisahau chura najitoa JF
Usijali nitavaa miwaniMacho yako yasisababishe nisahau masuala ya chura please!![emoji17]
Nani? Isijekuwa ni 'mdini' Faidha Fox...Visirid vya namna hii siku hizi vimekuwa vingi sana, ngoja na mimi niandae ya kwangu kuna bidada humu JF nikinywa maji namuona kwenye glass [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Afadhali!.....you will save me!Usijali nitavaa miwani
Please nakuomba inbox kama utajali lknUsijali nitavaa miwani
Ndo wapi hukoPlease nakuomba inbox kama utajali lkn
picha yenyewe siyo yake