Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Nilishindwa ata kuelewaKwa hyo yeye ameshindwa kukazia swahumu hadi anavunja miiko ya dini yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishindwa ata kuelewaKwa hyo yeye ameshindwa kukazia swahumu hadi anavunja miiko ya dini yake?
Hayo maandiko yameandikwa na nani?Kumpa mtu msaada wa chipsi kavu halafu akaagiza chipsi yai na soda baridi ndo utuletee mayowe huku mitandaoni....
Unapotoa msaada kwa mkono wa kuume, hata mkono wa kushoto usijue
Nikawa namuangalia tu,nifanyajeBaadaye ilikuaje?
Mbona midume mengi ya jf hasa ya Dar yanatumia majina ya kike?Wanaume wanavaa baibui siku hizi
Fanya kazi kwa werevu, ata mponda kokoto anafanya kazi kwa bidii ila maisha yako vile vileFanya kazi Kwa bidiii,hakuna kitu kama Hiko.
🤣🤣🤣Mji una hekaheka Hadi Shetani anakaa pembeni kuustudy kwanzaYawezekana ni dume la daslam tu limevaa baibui na kubadili sauti
🤣🤣🤣🤣Linazuga,Ili ukijichanganya likakunyonye damuJini gani linakula kiepe yai na mkubwa wao.
We falla una nini lkn?🤣🤣🤣Mji una hekaheka Hadi Shetani anakaa pembeni kuustudy kwanza
Kwaiyo mdada mwenye ushungi na baibui akafutulu kabla ya mudaLeo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria.
Ghafla akatokea dada mmoja ambaye simfahamu, amevaa baibui nyeusi huku amefunika hadi kichwa na kuachia sehemu ya uso tu ionekane; akaja kwenye ile meza yetu na kuvuta kiti, kisha akanijulia hali.
Baada ya kama dakika tatu hivi, yule dada akaniomba nimnunulie chipsi, kwa kuwa sikuwa nimejiandaa nikamwambia achukue chipsi kavu; mara ghafla akamwambia yule wa jikoni ampatie chipsi mayai na pepsi ya 'take away'.
Sisi tukabaki kumtazama tu, mara basi nililokuwa nalisubiri nalo likafika, nikamwambia yule dada mi naondoka; akaniuliza unaenda wapi? Nikamjibu naenda mkoa x, akamuita yule kijana ili nilipe bili; nami nikalipa nikaondoka.
Wakati naondoka, akanifuata kijana mmoja ambaye naye tulikuwa tumekaa naye pamoja; akaniuliza,mbona yule dada simuelewi elewi, inakuwaje mtu hamfahamiani afanye vile; mi nikamjibu hata mimi mwenyewe naona kama miujiza tu.
Yule kijana akaniambia, inawezekana labda ni majaribu tu, huwezi jua; inawezekana ikawa njia ya fursa huko mbeleni,mara mafursa ya maokoto yakafunguka.
Nikabaki nacheka tu. Ila kiukweli, mpaka sasa bado natafakari hiyo sinema.