Huyu dada simuelewi

Huyu dada simuelewi

Equation x anapambana saana na george aloyce. Ngoja tuone bingwa nani.
Ni kweli mkuu imetokea leo; mbaya zaidi yeye hakuniomba namba na mimi sikumuomba namba; na sijazungumza naye zaidi ya kuitikia salamu yake na kulipa bili basi.
 
kijana ambae mlikua mme kaa nae pamoja na akakufata na akakuuliza mbona huyu dada wa mchongo simuelewi,

ndie alikua na yule dada wa mchongo katika mission town,

Shukuru Mungu basi ulilokua ukilisubiria lilikua limefika na ukaondoka 🐒
Sina hakika, kwa sababu baadaye alibaki peke yake pale mezani akiendelea kula chipsi
 
Atakuwa ni moja wa mademu zako, uliowahi kuwatongoza.
Kumbuka vzr boss.
Sina hakika, ni mkoa mgeni; pia hatukuzungumza naye zaidi ya kuitikia salamu yake, na kumtimizia anacho hitaji; najiuliza je ningekataa kumnunulia, ingekuwaje?​
 
Itakuwa ni jini.
niliwahi kukutana binti kariakoo kavaa baibui vizuri kabisaa, sheli flani hivi kuna ATM nilipita kuchota visenti kidogo mida ya saa1 usiku..

baada ya kutoka kwa ATM hatua kama 5hivi mbele yangu nikawa kama napishana nae hivi nae akawa kama ananiblock, nikasimama...

straight alinisalimia na akanambia kaka naomba kama una sh.elfu5, huku akinitazama na long smile 🐒
 
Mbona na demu wangu kaleta chips home na alikuwa amevaa hivyo hivyo!! 😢😢😢


kama amekupa namba usimpigie mkuu😢😢😢
Alizilia palepale mezani, na yeye alikuwa anasafiri, kwa sababu alikuwa na begi
 
Back
Top Bottom