Huyu dada yake na Kiba yuko bomba na anajistiri sana,hivi kaolewa???

Huyu dada yake na Kiba yuko bomba na anajistiri sana,hivi kaolewa???

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Huyu binti dada yake na msanii Kiba kiukweli anamwonekano bomba na anatupia sana mavazi ya kujistiri pia sijawahi sikia ana skendo za ajabu ajabu kama zile za dada zake na msanii wa upande wa pili za kujiachia hovyo hovyo.
Kama kuna rafiki zake humu Jf hivi huyu binti kasha olewa?ili kama bado tunaomwelewa tuanze michakato ya kupeleka barua kwa mama kiba.
cf2b2b0ce6265f7cdce94a3bc9427d36.jpg
90458a32931a3260cb9f2483c972af71.jpg
1db0a497f42b5ee39c063fea6551436e.jpg
b5038640769800feadb24c5d783da2c5.jpg
525f62a5affa89e464fc9fe365b4ca12.jpg


-Ndumilakuwili-
 
Watu mna jaji kwa picha na kutoonekana kwa Shigongo?
 
Back
Top Bottom