PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Huyu binti dada yake na msanii Kiba kiukweli anamwonekano bomba na anatupia sana mavazi ya kujistiri pia sijawahi sikia ana skendo za ajabu ajabu kama zile za dada zake na msanii wa upande wa pili za kujiachia hovyo hovyo.
Kama kuna rafiki zake humu Jf hivi huyu binti kasha olewa?ili kama bado tunaomwelewa tuanze michakato ya kupeleka barua kwa mama kiba.
-Ndumilakuwili-
Kama kuna rafiki zake humu Jf hivi huyu binti kasha olewa?ili kama bado tunaomwelewa tuanze michakato ya kupeleka barua kwa mama kiba.
-Ndumilakuwili-