Huyu Dada yupo sahihi kuhusu Baba wa kambo?

Yeah. Ni wanaume flani hivi washamba wa muonekano, hawan swaga, sio watu wa shobo na wanawake wakiwa kwenye ubora wao huwa hawawataki. Ila ndio waowaji, waumini wa ndoa na familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…