Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #21
Huto mbona ni tuvicent tu.Duh ila watu wa jf mna ela[emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huto mbona ni tuvicent tu.Duh ila watu wa jf mna ela[emoji119]
Mbona unalialia mzeya [emoji23][emoji23][emoji23]Alijiona mjanja akawapa K jamaa zangu wawili... Nami siku flani nikawa na njaa nikategemea nami angeni poza akanitolea mbavuni. Akaniruka. Ila next week yake alipokuwa na jamaa wakanywaaa weeeeee akaenda akampa jamaa.
Iliniuma sana. Kila nilipokuwa nikifikiria machozi yalikuwa yananitoka kuwa kosa langu lilikuwa nini. mbona mimi mhandisamu na pesa ninazo. Anyway nikamfingia tu vidole. Nikijua dunia inazunguka leo kwangu giza kesho kwako kutakuwa na giza.
Demu mwenyewe tunashinda naye humu JF jamaa wenzangu wanakula tu ila mimi ndo kwake nina gundu. Sasa leo kajichanganya. Kajichanganya vibaya anashida na pesa. Jamaa wale aliowapa utamu wamemtolea mbavuni. Mimi aliyeniruka ndo kanifuata nimsaidie.... Nikamuuliza yupo serious?
Nikakumbuka waswahili wanasema mtu akale alipopeleka mboga. Nikamuuliza aliwaona x , y and z? Kuhusu hiyo issue ya pesa. Akajibu ndiyo ila wote wamemtosa. Sasa eti mimi aliyeniruka ndo sasa nimsaidie. Anyway.... Mimi sikuweka roho ya kinyongo. Nimepa hiyo pesa. Tayari ananiuliza ratiba zangu za kesho.
Nimemwambia kesho ntaenda kuangalia mikia wakifungwa. Akataka tuende wote nikamwambia hapana nina kampani. Wala sitaki anilipe kwa kunipa K. K yake abaki nayo tu awape hao hao jamaa.
Hyo hela exotic ungepiga mbususu quality 3...350,000 tu wala si nyingi
Kamba mzeya [emoji23][emoji23]Duh ila watu wa jf mna ela[emoji119]
Yule bwege? Alijiona yeye ndo yeye. Actually sikumroga nilimfanyia kisomo kwa jamaa mmoja. Bwege sana yule jamaa alijifanya anajua ya huku sisi tukamwonesha ya kule.Uchawi umeacha mkuu?? We si ndo ulimloga mfanyakazi mwenzako au sio wewe?...
Fala tu huyu halafu anajikuta mjaaaanjaUnajibaraghza tu hapa mkuu, yaeza kua umetoa hela na nyenye umenyimwa pia.
Pole sungura kwa sizitaki mbichi hizi
Sasa wewe kunyimwa umenyimwa na Hela umetoa, waliopewa hawajatoa hata mia sasa nani fala hapo bwege weweHa ha ha.... So ameendelea kuniruka? Ilinouma mwanzon why jamaa zangu awape mimi aniruke? Wakati jamaa wamejilia kimasikhara sana. Eti mimi ndo nimbembelezeee na kumchukulia serious.
Toka lini misukule ikawa na akiliNdio uyu ulimnunulia kiepe kuku,bado ukishidwa mvua chupi na mko chumbani?una Vimeo aisee,hamtoki na gono?
a.k.a chaiKamba mzeya [emoji23][emoji23]
Unafurahi? Mi nataka tu niwaoneshe nyie mademu kuwa wanaume pia tupo wajeuri. Na pesa sikumnyima makusudi aelewe kuwa sasa papuchi yake siyo deal kwangu.Bado mnaweweseka?
Kumbe kukandwa kubaya eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemwonesha tu kuwa sisi wahuni hatuna moyo wa Finyango. Sasa ndo ananilazimisha nimle nami sitaki. Maana amekuja kwa gear ya kukopa atarudisha after two weeeks. Nimemwambia haina shida nitasubiri hizo two weeks.
Ushapunwa tayari350,000 tu wala si nyingi