Huyu Demu alinifanyia Mupe Muruke akidhani Dunia imeishia pale kuzunguka.

Alijiona mjanja akawapa K jamaa zangu wawili... Nami siku flani nikawa na njaa nikategemea nami angeni poza akanitolea mbavuni. Akaniruka. Ila next week yake alipokuwa na jamaa wakanywaaa weeeeee akaenda akampa jamaa.

Iliniuma sana. Kila nilipokuwa nikifikiria machozi yalikuwa yananitoka kuwa kosa langu lilikuwa nini. mbona mimi mhandisamu na pesa ninazo. Anyway nikamfingia tu vidole. Nikijua dunia inazunguka leo kwangu giza kesho kwako kutakuwa na giza.

Demu mwenyewe tunashinda naye humu JF jamaa wenzangu wanakula tu ila mimi ndo kwake nina gundu. Sasa leo kajichanganya. Kajichanganya vibaya anashida na pesa. Jamaa wale aliowapa utamu wamemtolea mbavuni. Mimi aliyeniruka ndo kanifuata nimsaidie.... Nikamuuliza yupo serious?

Nikakumbuka waswahili wanasema mtu akale alipopeleka mboga. Nikamuuliza aliwaona x , y and z? Kuhusu hiyo issue ya pesa. Akajibu ndiyo ila wote wamemtosa. Sasa eti mimi aliyeniruka ndo sasa nimsaidie. Anyway.... Mimi sikuweka roho ya kinyongo. Nimepa hiyo pesa. Tayari ananiuliza ratiba zangu za kesho.

Nimemwambia kesho ntaenda kuangalia mikia wakifungwa. Akataka tuende wote nikamwambia hapana nina kampani. Wala sitaki anilipe kwa kunipa K. K yake abaki nayo tu awape hao hao jamaa.
yani ulilia kisa kunyimwa au hahahah
 
Shule zimefungwa?
 
Haha hii mupe muruke imenichekesha sana.

Dawa yake akiomba pesa tena mpe ila akiomba appointment nenda na manzi nyingine kwenye hiyo appoitment yake muwe watatu 😂
Huu ushauri mzuri sana. Nitaufanyia kazi.
 
wiki iliyopita nimewatumia mabinti 5 wa yanga baada ya kufungwa alfu kumi kila mmoja leo mmoja wao ananiuliza leo unaratiba gani any way nimemchukulia mcheshi tuh
 
Mkuu, pesa yako ndo tunaimalizia bucket ya mwisho hapa na nyingine iliyobaki nimetop up kidogo kuchukua room niende nikamchakate. Ahsante kwa Zakkat fitr.
 
Kqahyo ulikua unaumia nn sasa kama leo hutaki k muda mwingine leteni chai za maziwa sio maziwa ya chai
 
Alijiona mjanja akawapa K jamaa zangu wawili... Nami siku flani nikawa na njaa nikategemea nami angeni poza akanitolea mbavuni. Akaniruka. Ila next week yake alipokuwa na jamaa wakanywaaa weeeeee akaenda akampa jamaa.

Iliniuma sana. Kila nilipokuwa nikifikiria machozi yalikuwa yananitoka kuwa kosa langu lilikuwa nini. mbona mimi mhandisamu na pesa ninazo. Anyway nikamfingia tu vidole. Nikijua dunia inazunguka leo kwangu giza kesho kwako kutakuwa na giza.

Demu mwenyewe tunashinda naye humu JF jamaa wenzangu wanakula tu ila mimi ndo kwake nina gundu. Sasa leo kajichanganya. Kajichanganya vibaya anashida na pesa. Jamaa wale aliowapa utamu wamemtolea mbavuni. Mimi aliyeniruka ndo kanifuata nimsaidie.... Nikamuuliza yupo serious?

Nikakumbuka waswahili wanasema mtu akale alipopeleka mboga. Nikamuuliza aliwaona x , y and z? Kuhusu hiyo issue ya pesa. Akajibu ndiyo ila wote wamemtosa. Sasa eti mimi aliyeniruka ndo sasa nimsaidie. Anyway.... Mimi sikuweka roho ya kinyongo. Nimepa hiyo pesa. Tayari ananiuliza ratiba zangu za kesho.

Nimemwambia kesho ntaenda kuangalia mikia wakifungwa. Akataka tuende wote nikamwambia hapana nina kampani. Wala sitaki anilipe kwa kunipa K. K yake abaki nayo tu awape hao hao jamaa.

Haya maneno ulimueleza kweli???
 
Mkuu, pesa yako ndo tunaimalizia bucket ya mwisho hapa na nyingine iliyobaki nimetop up kidogo kuchukua room niende nikamchakate. Ahsante kwa Zakkat fitr.
Ha ha ha.... Nitawagegeda wote wawili shauri zenu....
 
Back
Top Bottom