Huyu demu anatumia ARVs ila anakunywa pombe hawezi kufa?

wamkodowenye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
261
Reaction score
291
Hivi hizi ARVs zimetengenezwaje maana si ni dawa kwanini mtu anameza huku anakunywa pombe na hafi?
 
Mkuu ARV's unapiga hata na methadone, wakibana sana watu wengi wataondoka, wangonjwa wengi wameshapinda kheri waachiwe tu. 😛😛😛

Pamoja na kuwa inaruhusiwa kunywa pombe, lakini ni lazima kuangalia ini lako, dawa hizi pia ni mzigo kwa figo, wanashauri katika siku saba za wiki unaweza kunywa siku tatu na kuwa na siku nne za alcohol free. Madhara mengine ya kuwa mlevi ni kusahau kunywa dawa pia huipi immune system nafasi nzuri ya kufanya kazi.
 
Kufa ni ahadi ya mungu! Ila kila kitu kina taratibu zake! Pombe ni sababu ya yeye kujidhoofisha na kuchoka haraka!

Lakini pia hiyo ni ishara ya kwamba anausambaza huo ugonjwa kwa kasi!

Ushaur kaa mbali nae pia weka mbali na watoto! Wataarifu ndugu na jamaa unaowapenda wasisogelee hapo!

Wasalam!
 
Hizo kama suppliments tu.. ukinywa bia moja mbili haina noma
 
Mkuu ARV's unapiga hata na methadone, wakibana sana watu wengi wataondoka, wangonjwa wengi wameshapinda kheri waachiwe tu. 😛😛😛

Pamoja na kuwa inaruhusiwa kunywa pombe, lakini ni lazima kuangalia ini lako, dawa hizi pia ni mzigo kwa figo pia, wanashauri katika siku saba za wiki unaweza kunywa siku tatu na kuwa na siku nne za alcohol free. Madhara mengine ya kuwa mlevi ni kusahau kunywa dawa pia huipi immune system nafasi nzuri ya kufanya kazi.
Umejibu vizuri hadi nimekuhisi....
 
wanasema wanatoa stress aisee sasa si ni noma hii pia dawa za presha na kisukari watu wanapiga pombe?
 
Unajua pressure na kisukari matatizo makubwa ni life style, pombe inatengenezwa na sukari, kula mavyakula yenye mafuta, kuvuta sigara, kutokufanya mazoezi. Ukiiishi moderate life, kula chakula chenye afya, kuacha pombe au kunywa angalau beer mbili kwa wiki (jambo gumu kwa wengi) kufanya mazoezi hii ni njia nzuri sana ya kukontorl pressure na diabetes.
 
Soma leaflets (vile vikaratasi vya ndani ya mabox ya dawa vyenye maelezo kuhusu dawa husika) kwenye Vipengele vya CONTRAINDICATIONS & INTERACTIONS.

[HASHTAG]#Tuwe[/HASHTAG] na Tabia ya kujisomea, sio kubugia tu#
 
Mkuu ARV's unapiga hata na methadone, wakibana sana watu wengi wataondoka, wangonjwa wengi wameshapinda kheri waachiwe tu. 😛😛😛

Pamoja na kuwa inaruhusiwa kunywa pombe, lakini ni lazima kuangalia ini lako, dawa hizi pia ni mzigo kwa figo, wanashauri katika siku saba za wiki unaweza kunywa siku tatu na kuwa na siku nne za alcohol free. Madhara mengine ya kuwa mlevi ni kusahau kunywa dawa pia huipi immune system nafasi nzuri ya kufanya kazi.
Sina cha kuongezea hapo!
 
Unajua pressure na kisukari matatizo makubwa ni life style, pombe inatengenezwa na sukari, kula mavyakula yenye mafuta, kuvuta sigara, kutokufanya mazoezi. Ukiiishi moderate life, kula chakula chenye afya, kuacha pombe au kunywa angalau beer mbili kwa wiki (jambo gumu kwa wengi) kufanya mazoezi hii ni njia nzuri sana ya kukontorl pressure na diabetes.
daa bc mm nilikua napiga makitimoto balaa na manyama choma na maredbul na konyagi mwili ukawa huo si siku nimepiga dragon energy na konyagi usiku acha presha ipande adi 180 daa kwenda hospital bdo miez mnne bdo wakanianzishia dawa nordon nikameza huku nikawa mjanja nikaanza kuacha pombe, manyama nikapunguza mwili now nipo fresh na dawa nimeacha kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom