wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 291
Hivi hizi ARVs zimetengenezwaje maana si ni dawa kwanini mtu anameza huku anakunywa pombe na hafi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejibu vizuri hadi nimekuhisi....Mkuu ARV's unapiga hata na methadone, wakibana sana watu wengi wataondoka, wangonjwa wengi wameshapinda kheri waachiwe tu. 😛😛😛
Pamoja na kuwa inaruhusiwa kunywa pombe, lakini ni lazima kuangalia ini lako, dawa hizi pia ni mzigo kwa figo pia, wanashauri katika siku saba za wiki unaweza kunywa siku tatu na kuwa na siku nne za alcohol free. Madhara mengine ya kuwa mlevi ni kusahau kunywa dawa pia huipi immune system nafasi nzuri ya kufanya kazi.
Cha muhimu nikuwa umenielewa, kuhisi sijali mkuu.Umejibu vizuri hadi nimekuhisi....
wanasema wanatoa stress aisee sasa si ni noma hii pia dawa za presha na kisukari watu wanapiga pombe?Mkuu ARV's unapiga hata na methadone, wakibana sana watu wengi wataondoka, wangonjwa wengi wameshapinda kheri waachiwe tu. 😛😛😛
Pamoja na kuwa inaruhusiwa kunywa pombe, lakini ni lazima kuangalia ini lako, dawa hizi pia ni mzigo kwa figo pia, wanashauri katika siku saba za wiki unaweza kunywa siku tatu na kuwa na siku nne za alcohol free. Madhara mengine ya kuwa mlevi ni kusahau kunywa dawa pia huipi immune system nafasi nzuri ya kufanya kazi.
Unajua pressure na kisukari matatizo makubwa ni life style, pombe inatengenezwa na sukari, kula mavyakula yenye mafuta, kuvuta sigara, kutokufanya mazoezi. Ukiiishi moderate life, kula chakula chenye afya, kuacha pombe au kunywa angalau beer mbili kwa wiki (jambo gumu kwa wengi) kufanya mazoezi hii ni njia nzuri sana ya kukontorl pressure na diabetes.wanasema wanatoa stress aisee sasa si ni noma hii pia dawa za presha na kisukari watu wanapiga pombe?
Soma leaflets (vile vikaratasi vya ndani ya mabox ya dawa vyenye maelezo kuhusu dawa husika) kwenye Vipengele vya CONTRAINDICATIONS & INTERACTIONS.wanasema wanatoa stress aisee sasa si ni noma hii pia dawa za presha na kisukari watu wanapiga pombe?
Sina cha kuongezea hapo!Mkuu ARV's unapiga hata na methadone, wakibana sana watu wengi wataondoka, wangonjwa wengi wameshapinda kheri waachiwe tu. 😛😛😛
Pamoja na kuwa inaruhusiwa kunywa pombe, lakini ni lazima kuangalia ini lako, dawa hizi pia ni mzigo kwa figo, wanashauri katika siku saba za wiki unaweza kunywa siku tatu na kuwa na siku nne za alcohol free. Madhara mengine ya kuwa mlevi ni kusahau kunywa dawa pia huipi immune system nafasi nzuri ya kufanya kazi.
Nimekuhisi wewe daktari mkuuCha muhimu nikuwa umenielewa, kuhisi sijali mkuu.
Mimi kapuku tu, bwana, tunapeana ushauri tu hapa.Nimekuhisi wewe daktari mkuu
daa bc mm nilikua napiga makitimoto balaa na manyama choma na maredbul na konyagi mwili ukawa huo si siku nimepiga dragon energy na konyagi usiku acha presha ipande adi 180 daa kwenda hospital bdo miez mnne bdo wakanianzishia dawa nordon nikameza huku nikawa mjanja nikaanza kuacha pombe, manyama nikapunguza mwili now nipo fresh na dawa nimeacha kabisaaaaaUnajua pressure na kisukari matatizo makubwa ni life style, pombe inatengenezwa na sukari, kula mavyakula yenye mafuta, kuvuta sigara, kutokufanya mazoezi. Ukiiishi moderate life, kula chakula chenye afya, kuacha pombe au kunywa angalau beer mbili kwa wiki (jambo gumu kwa wengi) kufanya mazoezi hii ni njia nzuri sana ya kukontorl pressure na diabetes.
upo vizur sana anti mpaka unanitamanishaga yaaniMimi kapuku tu, bwana, tunapeana ushauri tu hapa.