Huyu demu veepe!!!

Huyo ni sawa na chuma ulete, ila ni haki yake kudai deni ila si kwa namna hiyo, yaani anasema kabisa anasumbuliwa kwa siku mbili sasa??
Yani kanikomalia kweli me nimepiga chini
 
Mh, wanaake wengine hawana fikra, ilibidi ajiongeze mwenyewe, lkn hata hivyo na wewe ile elfu kumi uliazima ilibidi uirudishe kwanza harafu ndio umuhonge hiyo laki moja, kw maana hiyo bado unadaiwa elfu kumi kw kuwa hujarejesha bado
 
Sawa, anatakiwa atumie akili lakini
Siku zote kuishi na mwanamke kunahitaji mwanaume atumie akili,
*akili ya kutafuta pesa
*akili ya kumtuliza na kumtimizia mahitaji yake
*akili ya kutatua matatizo mbali mbali yatakayoibuka ndani ya nyumba
*akili ya kutambua yeye ni kichwa cha familia na mke ni kiwili wili
*akili ya kuto kulia lia na kuomba misaada isiyo ya lazima
-Sasa sijui wewe unaizungumzia akili gani?
 
Common sense
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wewe mwambie ile laki ikwapi nilikupa unishikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
punguzaga kimbelembele we mwambie akate hukohuko hiyo pesa, au unaogopa kuitwa dume suruali

√√ndio iLe unampa kondacta Elf kumi 10000ya nauli ,then anakuuliz hauna 100 hapo , haaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] si ukate huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…