Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh, wanaake wengine hawana fikra, ilibidi ajiongeze mwenyewe, lkn hata hivyo na wewe ile elfu kumi uliazima ilibidi uirudishe kwanza harafu ndio umuhonge hiyo laki moja, kw maana hiyo bado unadaiwa elfu kumi kw kuwa hujarejesha bado[emoji57]
Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kumuomba demu wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- B, ile 10,000/= niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3"
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEMU MWINGINE.
Siku zote kuishi na mwanamke kunahitaji mwanaume atumie akili,Sawa, anatakiwa atumie akili lakini
Tatizo c kumpiga chini, lipa ulicho azima ck nyingine utakosa kuaminikaYani kanikomalia kweli me nimepiga chini
Common senseSiku zote kuishi na mwanamke kunahitaji mwanaume atumie akili,
*akili ya kutafuta pesa
*akili ya kumtuliza na kumtimizia mahitaji yake
*akili ya kutatua matatizo mbali mbali yatakayoibuka ndani ya nyumba
*akili ya kutambua yeye ni kichwa cha familia na mke ni kiwili wili
*akili ya kuto kulia lia na kuomba misaada isiyo ya lazima
-Sasa sijui wewe unaizungumzia akili gani?
Zipi si useme?Common sense
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hyo sio njia nzuri ya kuokoa pesaHuyo chukua umle tigo halafu piga chini
Huo sasa uonevuAkafie mbele bana hizo tamaa sasa!