Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Joined
Oct 19, 2015
Posts
17
Reaction score
10
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?
 
Mpe taarifa huyo tax driver mwambie uliteleza tu kwa kufanya naye mapenzi na unampenda sana mumeo, pia mweleze kuwa message yake imeonwa na mumeo, na anapanga kumfumania ili naye ageuzwe mke na mabaunsa.

So aachane kabisa na wewe. Natumai atakuelewa na mpango wa mumeo utashindikana. Kama dereva ataendelea kuwa king'ang'anizi, mwache aolewe, kiranga huwa haliliwi.
 
Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?

Kazi ipo, hapo ndio hua naikumbuka signature ya The Boss

Kanisani ndio ndoa zinafungwa, na hukohuko tunategemea watu wajifunze kua wenye utu ubinadamu na upendo, kumbe hukohuko ndio ndoa zinaharibika?
 
Last edited by a moderator:
Hv umesema umeolewaa eeeeh....kwann ukubali wakati unajua ni kweli jamaa kakufurigisa?
 
Dada Irene.. Wanaume huwa hawakomeshwi kwa kutoka nje ya ndoa.

Tafuta njia mbinu nyingine. Hayo mambo ya fumanizi yatakushushia hata we mwenyewe heshima
 
Dada Irene.. Wanaume huwa hawakomeshwi kwa kutoka nje ya ndoa.

Tafuta njia mbinu nyingine. Hayo mambo ya fumanizi yatakushushia hata we mwenyewe heshima
hakukomeshwa eti ilitafutwa suluhisho!!!!!!!!!!!!!
 
hakukomeshwa eti ilitafutwa suluhisho!!!!!!!!!!!!!

Hilo suluhisho lilikuwa na kubomoa au kujenga??

Imeandikwa mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe.

Na mtoa mada bado anipenda ndoa yake hilo unaliona hata anavyoelezea. Kama kisa ni cha kweli mpeni mawazo ya kujenga.
 
Mungu wangu!!! Nyie wake wa watu mnatambua mnauwezo wa kuvunja ndoa na kuendelea na maisha yenu. Sioni tofauti yako na demu aliye single.
 
Back
Top Bottom