simple one
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 168
- 69
maamuzi uliyofanya ni ya pupa na umemwaibisha mumeo, kutembea na dereva tax wenu ni aibu kubwa!
huko ulipoenda kwenye suluhisho la pili nako muda si mrefu utakuja tena kuomba msaada wa ushauri...
mumeo nae ana shida kwani kutengeneza fumanizi la kushtukiza ni kukuaibisha na wewe pia, nadhani busara itumike hapo, ila ugumu uliopo ni kuwa wewe tayar uaminifu kwa mumeo haupo.
achana na huyo kidumu chako, kaa na mumeo muyamalize ya dereva tax msiaibishane
swala la mumeo kutofanya vizuri kitandani sio la kulisemea hadharani, jaribu nawe kutafuta suluhisho si la mwanaume nje ila kuhakikisha mumeo anakula vizuri vyakula vya kutia nguvu mwaili.