Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Mambo ya kijinga kama haya ndo yanayofanya wanawake wachezewe tu.eti God fearing..ngoja upate na maukimwi huko ndo utazisoma hadi number za kigiriki.pimbi wewe
 
Kuna kipindi naamini sana hisia zangu kua imani ya kweli na kanisa safi ni nafsi yangu uko kwingine ni ulaghai mtupu how come watu wanaokutana church wanahalalisha uzinzi wa kibwege ivi,nishawahi kuwatimua watu wa maombi walianza kuzoe home kusali na wife samahani kwa kua judgemental ila ukweli makanisani nako sio salama tena.
 
Eti... Huyo mwingine ana sifa za performance zaidi ya mume wake na dreva tax!!!! Duh wanaume tuliooa ni shida!!
 
Mmhhh pole sana mtoa maada sa huyo mme wako hasomi huu uzi?.kuhusu kufumaniwa usifanye hivyo hujui mmeo anaweza pata kisingizio cha kukukil ili aendelee na kimada wake chakufanya tax drive mpe mkanda mzima asepe kusiko julikana na huyo wapili mwambie nae asije kujiachia zaid yatamukuta ya taxdrive kwani nawe upo ndunian ili upate furaha ya ndoa kama mr analeta uzembe we ufanyeje kwa hilo binafs ckulaum .Banjuka lakin akili mkichwa.

ona malaya jingine hili..
 
Mbona wamama tunaaibishana hivi. Unatakiwa upigwe mawe hadhatani hadi ufe. Wewe ndio performanxe yakobilikuwa dhaifu ikapelekea mumeo kujipooza kwingine na pombe. Huonei huruma wanao? Hujionei aibu mbele ya watoto wako? Kweli dunia imepinduka. Siamini km ni kweli. Km ni kweli ulaaniwe na hiyo ndio adhabu yako ukome
 
Wewe usikubali huo ujinga, mtafute huyo jamaa wa taxi umeleze ukweli kuwa mr kaona hiyo sms na mipango inayopangwa mwambie ukweli kabisa kuwa hali mbaya ili akae mbali na ww..hiyo ndio njia rahisi sasa ya kumkwepa moja kwa moja
asikufatefate tena..
 
Comments za humu sanyingine mtu unaweza kujikuta wewe ndio mdhambi dunia nzima..

Mi sina cha kukushauri mwaya,kwa vile hii story najua ulipoitoa.
 
mwanamke mpumbav cjawahi ona!!cku c nyingi utaachika kwa uzinzi..tulizana mwanaume hakomeshwi hivo..kwa hyo uko tayari kuonekana ww ni mzinz mbele ya jamii?!shenzi ww.ivi unajua maana ya God fearing???..endelea na huo ujinga sawa
 
wewe ni dume tena utakuwa giresi yule mwenye wowowo linalotaka kudondoka..
 
tang'ana acha ushamba hayo mambo yapo nahuyu mtu kaomba ushauli na unatoa matus kwan yeye mtoto mdogo hajui ugonjwa upo kama huna lakusema kaakimya.
 
Last edited by a moderator:
He's god fearing why tena atembee na mke wa mtu, huyo wa kanisani mchunguze sana wanaume wenye tabia hiyo tupo wengi me mwenyewe ni mmoja wapo yaani ukija kidini hua namega ata ma sister
 
Mwanaume huwezi mkomoa hata siku moja, utaishia kujikomoa mwenyewe na kuishia kuwapa wazazi/ndugu wako/zako fedhea.
 
Dah... we dada kiboko.....ndivyo mlivyo lakini....hamueleweki.........kwani mmeo kaanza kunywa baada ya kukuwowa wewe?... mna watoto?
 
Msaada wa kizungu jamani wengine shule za kata. "GOD FEARING PERSON" maana yake nini? Mimi nimeelewa kama mtu anyemuogopa Mungu. Kwamaana hiyo hawezi kuwa anatembea na wewe mke wa mtu tena mmekutana mahali mnapoabudu?
 
Unachokitafuta ndo hichooooo,
Umenitia hasira sana,
We ni malaya huna kipimo,
Pumba...........................................fu
 
Back
Top Bottom