Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

hahaha et God fearing...uku anakukaza mke wa mtu bado God fearing?,,u must be kiding by the way izo ndo garama zakutoka nje ya ndoa you must pay one way or the other
 
Mpe taarifa huyo tax driver mwambie uliteleza tu kwa kufanya naye mapenzi na unampenda sana mumeo, pia mweleze kuwa message yake imeonwa na mumeo, na anapanga kumfumania ili naye ageuzwe mke na mabaunsa. So aachane kabisa na wewe. Natumai atakuelewa na mpango wa mumeo utashindikana. Kama dereva ataendelea kuwa king'ang'anizi, mwache aolewe, kiranga huwa haliliwi.

Sa Kiranga anahusikaje hapa?
 
Unadhani ukimpangia fumanizi dereva tax aibu itakuwa kwake au kwako wewe uliyeolewa? Funguka macho na uone ulipokosea na sio kujitetea kusipo na tija kana kwamba hauna makosa
 
God fearing?

Unapoabudu?

Hivi unajuwa unachokiabudu?

1 Wakorintho 6



9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Yaani wewe ni zaidi ya kahaba, badala ya kutulia na mmeo unahangaika na kutafuta mabwana,wewe ni hatari sana
 
Hivi unajua maama ya god fearing person. Acha ujinga wewe. Eti anakupenda huoni aibu. Unajua adhabu ya kuzini kwa god fearing people, ni kupigwa mawe hadi kufa. Soma Walawi 20:10 na mingine unaijua. Unachofanya ni mashindano ya kutoka nje ya ndoa jambo ambalo sio jema
kwanza unajidhalilisha
ikigundulika wewe ndio utafukuzwa na sio mwanaume kwasababu ya mfumo dume na jamii itafahamu kuwa umalaya ndio umekufukuzisha kwa mume.
magonjwa yapo na nirahisi kuyapata.
usalama wako ni mdogo kwani huyo uliyenaye huenda ana mtu wake akakuwekea visasi ipo siku utaipata.
mwusho kama umeshindwa kuvumilia na kumrekebisha ni bora ukaomba talaka yako ukaondoka, haumkomoi mtu yeyote hata mume wako, yeye ni mwanaume na atabaki kuwa mwanaume siku zote
 
Hii ndio hali halisi ya baadhi ya wanawake tulionao kwa sasa. Wengi wanauza kimya kimya.
 
Siku nyingine jifunze kutumia "God fearing" vizuri. Otherwise kumbuka what goes around..... Usishangaye Wakimfanyia hivyo huyo dereva taxi nawe watakuingiza mkenge huo na utapigwa man.de.
 
Back
Top Bottom