Huyu Dodoma Demand mnamuelewa kweli?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna ID mpya inajiita Dodoma Demand yupo Kama mwehu sijui shida Ni kwamba hajui kiswahili au anatafuta Nini anachafua Hali ya hewa kwenye jukwaa la siasa kiufupi haeleweki naomba mods wafanye Jambo maana anakera Sana unakuta kapost licomment refu halafu utopolo mtupu inatupa shida sasa.kweli tuna stress ila Sasa kwa style anayokuja nao kutuboa anazidi kututia hasira.
 
Amepost uzi mmoja mara madawa ya kulevya sijui nyumba za wasanii ni haeleweki[emoji16][emoji16]
 
Huyu hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Na hapa kaja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

CCM wanaokoteza hadi mataahira wanawapa smart kitochi wanapiga kazi mradi tu anajua KKK
 
Labda ametokea facebook, jaribu kumuuliza vizur,[emoji847]
 
Muache mgeni aisee🤡
 
Dodoma si ndio Kuna ile hospital kubwa ya wale walioyumba madishi ,si maanishi hivyo ila najalibu kuvuta hisia
 
Unaweza kukuta ni Mod mgeni ngoja aje akupige ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…