ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna ID mpya inajiita Dodoma Demand yupo Kama mwehu sijui shida Ni kwamba hajui kiswahili au anatafuta Nini anachafua Hali ya hewa kwenye jukwaa la siasa kiufupi haeleweki naomba mods wafanye Jambo maana anakera Sana unakuta kapost licomment refu halafu utopolo mtupu inatupa shida sasa.kweli tuna stress ila Sasa kwa style anayokuja nao kutuboa anazidi kututia hasira.