Huyu dogo akikua anaweza kufanya kazi gani?

Huyu dogo akikua anaweza kufanya kazi gani?

Mchambuane dogo Excel.

hapa ilikuwa mwaka 1992.!!

haya sasa wale mates wangu muje huku!

1468718_186239844909413_177244381_n.jpg

Sidhani kama mageti ya majirani yanawasaidia chochote kwa ulinzi..
 
Last edited by a moderator:
Kama miaka hiyo ndo alikuwa hivyo...japo umetuongopea na hiyo pampas lol!!

Sasa miaka hii si ndo balaa!
 
Kama miaka hiyo ndo alikuwa hivyo...japo umetuongopea na hiyo pampas lol!!

Sasa miaka hii si ndo balaa!

maisha bora yalianza zamani!
 
Back
Top Bottom