Huyu dogo angefanya hiki kituko kwenye nchi za kidikteta, angenyongewa baharini

Huyu dogo angefanya hiki kituko kwenye nchi za kidikteta, angenyongewa baharini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Msanii Kevini Bahati wakati anatumbuiza, alimwomba rais Uhuru ainuke wacheze pamoja, aliponyanyuka, yeye msanii akakalia kiti chake rais. Binafsi nimeona kama jambo mbaya ambapo huyo msanii alifaa kuchukuliwa hatua kisheria, lakini naona rais ameichukulia sawa tu.

Hapa nawaza ingelikua nchi ya kidikteta, huyo dogo angenyongewa kando ya bahari na mwili wake kutupwa mbali.

14232370_10154355728600259_7648917636635227066_n.jpg


Bahti-696x435.jpg



Gospel singer Kevin Bahati sparked a heated debate after sitting on President Uhuru Kenyatta’s seat during the launch of the Jubilee Party at Kasarani Stadium on Saturday.

While performing, the musician somehow ‘tricked’ the President to leave his seat and join him on stage for a jig.
He later went back and sat on the President’s seat where he serenaded First lady Margaret Kenyatta with the lyrics of his single Mama.

All this while, President Uhuru Kenyatta was left standing on stage awkwardly – and this has not gone down well with some social media users.
Gospel Singer Bahati Accused Of DISRESPECTING President Uhuru Kenyatta
 
Rais ya Kenya ako na roho nzuri. Hapendi "kufanyanga" mbaya kwa wenzie. Hongera sana rais mwenye utu na upendo kwa watu "yako".
Wakenya katika ubora wao.
 
Huo twaitaga uchochezi, ako na kosa gani?

Binafsi navyofahamu, kiti cha rais kina hadhi na hairusiwi msela yeyote kukikalia ovyo, nafikiri kuna sheria dhidi ya hili.
 
Rais ya Kenya ako na roho nzuri. Hapendi "kufanyanga" mbaya kwa wenzie. Hongera sana rais mwenye utu na upendo kwa watu "yako".
Wakenya katika ubora wao.
Kaulize Wajaluo walichofanyiwa na kikundi cha kigaidi cha Wakikuyu, Mungiki chini ya udhamini wa Uhuru Kenyatta.
 
Hebu toa mfano wa hizo nchi za kidikteta mkuu...
 
Kenya hakuna heshima kabisaa mpaka kiti cha rais kinakaliwa na wahuni tu, yaani kiti cha amiri jeshi mkuu (C in C)
 
Malizia tu kusema angekua kwenye nchi kama ya jirani acha kumeza maneno

Naomba twende North Korea ambapo mjomba wake rais alipigwa shaba kwa kosa la kusinzia wakati rais anahutubia.
Sidhani kama kuna nchi yoyote ya jirani ambapo imefikia huko, japo naskia kwenu huko Kusini Whatsapp imewagharimu jamaa kadhaa mamilioni. Ndio madhara ya kuandika andika ovyo kwenye mitandao ya kijamii wakati umelewa Konyagi, kesho yake jamaa waliovalia suti wanabisha hodi mlangoni, kinachofata inakua shughuli.
 
Kaulize Wajaluo walichofanyiwa na kikundi cha kigaidi cha Wakikuyu, Mungiki chini ya udhamini wa Uhuru Kenyatta.
What??? Kumbe East Africa hakuna mahala salama kwa raia wanyonge wanyonge! So sad.
 
Binafsi navyofahamu, kiti cha rais kina hadhi na hairusiwi msela yeyote kukikalia ovyo, nafikiri kuna sheria dhidi ya hili.
Kijana ametabiri kuwa jamaa hatarudi kwenye uchaguzi ujao mwingine atakikalia hicho kiti
 
Ndo maana tunasema Kenya hakuna waimbaji wa kweli wa nyimbo za Injili, huyo mwimbaji wa ''Gospel'' alikuwa anatafuta kiki za ''kidunia'' siyo za ''Kiroho''.

Published on 11 Sep 2016
Kuzinduliwa rasmi kwa chama cha Jubilee hapo jana kuliambatana na mbwembwe na madoido ya aina yake lakini kile ambacho kimesalia vinywani mwa wakenya wengi ni tumbuizo la mwanamuziki wa nyimbo za injili Kevin Bahati almaarufu 'Bahati'. Hatua yake ya kumwondoa Rais Uhuru Kenyatta kwenye kiti chake na kukalia kisha kumwimbia mama wa taifa Margaret Kenyatta pamoja na kuweka mguu wake juu ya meza ya naibu rais William Ruto imezua hisia mseto huku wengi wakilalamika kuwa alivuka mipaka.



source: Kenya Citizen TV
 
Back
Top Bottom