Huyu dogo angefanya hiki kituko kwenye nchi za kidikteta, angenyongewa baharini

Huyu dogo angefanya hiki kituko kwenye nchi za kidikteta, angenyongewa baharini

Rais ya Kenya ako na roho nzuri. Hapendi "kufanyanga" mbaya kwa wenzie. Hongera sana rais mwenye utu na upendo kwa watu "yako".
Wakenya katika ubora wao.
Na huyo raisi ako ni muzuri ingerikuwa ingine mambo ingejuwa mingine vile jamaa angeripotezwaga.
 
Nampenda sana rais Uhuru Kenyatta kwani ni mtu peace sana na anajua kuwa hali hiyo itapita. Uhuru ni rais bora sana amefanya Kenya inakuwa na hadhi ya kimataifa kiuchumi. Pia Uhuru ana hekima na busara za kiongozi..
 
Rais Uhuru siyo mbabe kama ya jirani yake kusini ndo maana amepeana kiti na dogo
 
Kenya hakuna heshima kabisaa mpaka kiti cha rais kinakaliwa na wahuni tu, yaani kiti cha amiri jeshi mkuu (C in C)
Who is he? Kwani yeye ni mungu? Akikaa hapo nini kinabadilika?
 
Who is he? Kwani yeye ni mungu? Akikaa hapo nini kinabadilika?
The chair on which the head of the state seats, it symbolizes power of that ruler or president, therefore in regarding this, no any person else can seat on this chair which is specially intended for the president.
Mkuu I am surprised to see your premises claiming that there is no any problem for that guy to seat on that imperial chair.
 
Uhuru mwenyewe kama CinC na kama rais, ameachia watoto wa shule kuketi kwa kiti chake cha cabinet na kile cha ofisi yake rasmi ambapo hapo ndo hu sign sheria zikue rasmi na hapo hapo kuna zile simu ambazo akiinua moja kwa moja inapiga kwa generali mkuu, akiongea hio ni direct order


Talks-7.jpg
c93e68e498a12c84c7ccab9cec56f947.jpg

0fgjhs7s7mrlijm5c.5f85ce4a (2).jpg
medium.jpg
27598054580_bb52fbf656_b.jpg
0fgjhs47fprfh0uh4.c33dbb09.jpg
0fgjhs56l0al2a4hn.131deeb2.jpg
medium (2).jpg
pupil2.jpg
0fgjhs2gtc23grcapg.51f98350.jpg
27264013584_e9aea27dda_b.jpg
thumbnail.php (2).jpg
[A
 
Wadaku sasa wadai bahati alikamatwa kwa 'kujaribu kuwa rais'



Kulingana na ripoti za udaku jijini, Bahati alisemekana kutiwa mbaroni kwa kusimamisha Rais Kenyatta na kukaa kwa kiti chake kwa karibu dakika mbili akiimbia Mama wa Mataifa wimbo ‘Mama’ na kuwatumbuiza mashabiki.
Udaku uliosambazwa katika mitandao ya kijamii ya WhatsApp, Twitter na Facebook unadai zaidi ya maafisa 20 wa polisi walinasa Bahati siku ya Jumapili usiku na kumpeleka mahali kusikojulikana kuhojiwa.
Taarifa hizo zilidai Bahati angefikishwa mahakamani Jumatatu, ingawa hakuna habari zaidi kuhusu madai ya kukamatwa kwake ama kufikishwa mahakamani.
Bahati amekosolewa na Wakenya na hata wafuasi kutoka nje ya nchi kwa kusimamisha Rais Uhuru na Naibu wa Rais William Ruto ili kukaa kwenye viti vyao na kuwaimbia Mama wa Taifa Margaret Kenyatta na Rachel Chebet na kuwafanya kucheza densi mbele ya maelfu ya Wakenya uwanjani Kasarani.
Shughuli hii pia ilipeperushwa kwa mamilioni ya watu kote duniani.
Wengi wamesema Bahati alivuka mipaka na kuwa viongozi hao na wake zao walistahili kupewa heshima zao.
 
Ha ha ha… kenyata kachukulia poa tu.. Ingekua bongo alaf umekalia kiti cha Makonda tuu wala sio raisi.. Jasho lingemtoka
Weee bongo wanapenda kuitwa malaika watakatifu wenye enzi, yani huko ni full kutukuzana.
 
watu ambao watazusha ni jeshi, hao ndo walikua offended, wakikasirika bahati atapatwa na bahati mbaya maana hao hawatachekcheka nae



"The President is the Commander In Chief, and thus, allowing the singer to sit on his seat (which in itself is an instrument of power) was a breach of protocol as per the military," one of the experts said.
Another expert said that, it was wrong for the President's security detail to have allowed Bahati to "unseat" the President.
He said: "The move was ill-advised from the word go.
"But taking into account the President's charming nature, and the surrounding circumstances, he didn't take it as a big deal.
"However, it could be interpreted differently by different quarters including the military, but they can also let it to just pass, because after all, it didn't put the President in imminent danger."
Expert Opinion: Did Bahati 'overthrow' President Uhuru Kenyatta for 10 seconds at Kasarani?
 
kama mzee Moi alikua anaangalia tv live alafu aone bahati akiruhusiwa kuketi kwa io kiti...

"arrrrrrrrgghh! io kijana weka nyayo chemba, iko api fibo yagu, ebu pigia simu kamwana anipatie urais kwa masaa 24 kama vile alipatia ruttho nifundishe awa vijana heshima"
 
Rais ya Kenya ako na roho nzuri. Hapendi "kufanyanga" mbaya kwa wenzie. Hongera sana rais mwenye utu na upendo kwa watu "yako".
Wakenya katika ubora wao.
Mhhhh ako ndo nn sasa
 
Back
Top Bottom