Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu timu kubwa ulaya unakuta zishalipa advance tayari, Argentina huko ukipata mchezaji Huwa ni vyuma kweli, wao na Uruguay Huwa wanatoa wapambanaji sana.
Mbona hiyo kawaida kabisa?Halafu mpira kumbe siyo lazima uwe na umbo kubwa. Mbona dogo ana umbo dogo lakini shughuli yake ni hatari!