Huyu dogo ni hatari sana, angalia alivyo wanyanyasa Brazil

Huyu dogo ni hatari sana, angalia alivyo wanyanyasa Brazil

images.jpeg
bila kumsahau huyu dogo IBRA.DIARA ambaye MONACO ya ufaransa washaanza mazungumzo karibuni wanamalizana.
 
Halafu mpira kumbe siyo lazima uwe na umbo kubwa. Mbona dogo ana umbo dogo lakini shughuli yake ni hatari!
Mbona hiyo kawaida kabisa?

Legendaries wale most popular siyo wenye umbo kubwa.

Tena kwa haraka, kati ya Pele, Maradona, Messi na Ronaldo. Hapo the latter ndo ambaye kidogo unaweza kusema umbo kubwa(I hope unazungumzia urefu pia)

Otherwise wengi ni wenye maumbo madogo tu.

Tofauti na basketball au American football 🏈
 
Back
Top Bottom