Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 2,802 Reaction score 7,551 Nov 26, 2023 #21 Details za huyo dg mkuu ungeziwelaa ingependeza zaidi
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Nov 26, 2023 #22 bila kumsahau huyu dogo IBRA.DIARA ambaye MONACO ya ufaransa washaanza mazungumzo karibuni wanamalizana.
bila kumsahau huyu dogo IBRA.DIARA ambaye MONACO ya ufaransa washaanza mazungumzo karibuni wanamalizana.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Nov 26, 2023 Thread starter #23 Timerlane said: Huyu timu kubwa ulaya unakuta zishalipa advance tayari, Argentina huko ukipata mchezaji Huwa ni vyuma kweli, wao na Uruguay Huwa wanatoa wapambanaji sana. Click to expand... Kweli kabisa kamanda
Timerlane said: Huyu timu kubwa ulaya unakuta zishalipa advance tayari, Argentina huko ukipata mchezaji Huwa ni vyuma kweli, wao na Uruguay Huwa wanatoa wapambanaji sana. Click to expand... Kweli kabisa kamanda
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,329 Reaction score 25,263 Nov 26, 2023 #24 Umkonto said: Halafu mpira kumbe siyo lazima uwe na umbo kubwa. Mbona dogo ana umbo dogo lakini shughuli yake ni hatari! Click to expand... Mbona hiyo kawaida kabisa? Legendaries wale most popular siyo wenye umbo kubwa. Tena kwa haraka, kati ya Pele, Maradona, Messi na Ronaldo. Hapo the latter ndo ambaye kidogo unaweza kusema umbo kubwa(I hope unazungumzia urefu pia) Otherwise wengi ni wenye maumbo madogo tu. Tofauti na basketball au American football 🏈
Umkonto said: Halafu mpira kumbe siyo lazima uwe na umbo kubwa. Mbona dogo ana umbo dogo lakini shughuli yake ni hatari! Click to expand... Mbona hiyo kawaida kabisa? Legendaries wale most popular siyo wenye umbo kubwa. Tena kwa haraka, kati ya Pele, Maradona, Messi na Ronaldo. Hapo the latter ndo ambaye kidogo unaweza kusema umbo kubwa(I hope unazungumzia urefu pia) Otherwise wengi ni wenye maumbo madogo tu. Tofauti na basketball au American football 🏈