Huyu dogo ni hatari sana, angalia alivyo wanyanyasa Brazil

Huyu dogo ni hatari sana, angalia alivyo wanyanyasa Brazil

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Screenshot_20231125-165736_Instagram.jpg

👇🔥🔥🔥

Dogo amepiga hatrick, magoli ya ufundi haswaa, so itapendeza sana ikiwa watamchezesha world cup 2026, sio wa kumuacha namba 10 huyu....
 
Dogo amepiga hatrick, magoli ya ufundi haswaa, so itapendeza sana ikiwa watamchezesha world cup 2026, sio wa kumuacha namba 10 huyu....

Wenzetu wanajua namna ya kuendeleza vipaji ikiwemo taifa la Argentina...

Huyo dogo kama akiwa hai na kipaji kikiwepo, utamuona tu timu za wakubwa mbeleni...
 
Back
Top Bottom