M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Utajiri ni pesa na mali, watoto wako watarithi afya yako?Fala tu uyo. Utajiri ni Afya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajiri ni pesa na mali, watoto wako watarithi afya yako?Fala tu uyo. Utajiri ni Afya.
Anawatukana wasomi wa Zimbabwe km Dotto Magari kisa aliacha shule akiwa form 2 kwa hio hajasoma ni Dude fulani hivi ndani ya Jiji la Harare
Hahaaa. Hii imeshaota mizizi Mkuu.Wajirekebishe kwa kweli 🤣
LabdqUna hela kibao lakini unashindwa kutunza afya yako, ni huzuni.
Au labda ana ugonjwa flani wa ajabu.