Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Baas kazi imeisha tayariHe claims to be from Kinondoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baas kazi imeisha tayariHe claims to be from Kinondoni
Wanazuoni tunaweza kukuunga mkono kulingana na baadhi ya views zako lakini kumbuka huyu dotto anatangaza biashara ya mtu yeye sio mwenye hizo mipira inayohuzwa yeye ni salesman anatumia personal skills zake kwaajiri ya kuongeza thaman ya biashara tuzidi kumfatilia na kujua ubora wa magari na kuongeza sold volume.1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)
2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui (Kisarawe rural: Ukiwa Msanga sokoni unaiacha njia ya kwenda Chole unakata kushoto) sijawahi kusikia mzaramo anaitwa Dotto.
Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee? Mzaramo hata akizaa mapacha hawaiti kulwa na Dotto atawaita Hassan na Hussein au Halima na Hadija etc..kuitana kulwa na Dotto ni utamaduni wa wasukuma na wanyamwezi
3. Anaongea sana kama mtoto wa jinsia pendwa. He claims to be from Kinondoni but he doesn't talk 'according to Kinondoni'. Watoto wa Kino hawaongei kama anavyo ongea yeye. " something is missing in him" (elewa vizuri maana ya " na " kama zilivyo tumika kwenye sentensi tajwa hapo juu)
# Dotto Magari!!! Do u tell me what I think ur telling me?
Time will tell.
Alipiga debe sana manyanya hapo
Ova
Nilitaka nikutag uje umalize ubishi, imeishaaAshawahi kuwa mpiga debe wangu
Huyu,alikuwa teja kibaka
Ila sahv kaachana na mambo yote hayo
Kuhusu kuibeba kinondoni nakataa
Ova
Ukikutana na Msukuma au Mnyamwezi anaitwa Shija, basi ujue umekutana na Dotto.1.
Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee? Mzaramo hata akizaa mapacha hawaiti kulwa na Dotto atawaita Hassan na Hussein au Halima na Hadija etc..kuitana kulwa na Dotto ni utamaduni wa wasukuma na wanyamwezi
kulwa na doto wakitoka jandoni ndio wanakuwa hasan na husein, wazee wa mila bado tupoHahah.. Mkuu uko sahihi nimesoma na jamaa walikuwa na majina km haya Hassan na Huseni primary ni wazaramo mapacha lkn hatukuwahi kuwaita kulwa na doto
Kinoclain si ndo kumejaa mas01. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)
2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui (Kisarawe rural: Ukiwa Msanga sokoni unaiacha njia ya kwenda Chole unakata kushoto) sijawahi kusikia mzaramo anaitwa Dotto.
Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee? Mzaramo hata akizaa mapacha hawaiti kulwa na Dotto atawaita Hassan na Hussein au Halima na Hadija etc..kuitana kulwa na Dotto ni utamaduni wa wasukuma na wanyamwezi
3. Anaongea sana kama mtoto wa jinsia pendwa. He claims to be from Kinondoni but he doesn't talk 'according to Kinondoni'. Watoto wa Kino hawaongei kama anavyo ongea yeye. " something is missing in him" (elewa vizuri maana ya " na " kama zilivyo tumika kwenye sentensi tajwa hapo juu)
# Dotto Magari!!! Do u tell me what I think ur telling me?
Time will tell.
Kuna miaka fulani nlikuwa na coaster route ya posta mwananyamala alinioigia sana debe,alikuwa msumbufu sana,uwizi,utejaMaisha yanachange ,nilijua masikhara kuhusu Dotto kwamba alipitia wizi ,uteja na upiga debe ! Kwasasa anapiga MAOKOTO sana.
Namjua vzr sanaNilitaka nikutag uje umalize ubishi, imeishaa
Ova